Peter Selukamba wa Kigoma mjini asusia kusaini matokeo!

MTOKAJASHO

Member
Oct 22, 2010
12
0
Mgombea wa ubunge wa kigoma mjini haamini anachokiona kwenye matokeo na kugomea kusaini. mwaka huu mimi nasema mpaka kieleweke tu.
 
Ujiji kwetuuu ....... na akimaliza huyo nakwenda kuchukua jimbo hilo kwani nimechanjiwa kuwa mbunge wa eneo hilo.
 
nadhani hii ndio strategy yao mwaka huu sitashangaa hata JK nae akigoma kusaini..
 
kuna kitu kubwa inakuja, inakuwaje wote wagome kusign, mhmm na hao nec si wana matokeo yote,sasa kwanini hawatangazi mshindi hata kama wanagoma kusign, mungu mkubwa sana
 
wanataka tu kusign wanapopita au, naona hili limekuwa systemic problem kwa ccm. Chakachua haikuwaokoa mybe
 
Mgombea wa ubunge wa kigoma mjini haamini anachokiona kwenye matokeo na kugomea kusaini. mwaka huu mimi nasema mpaka kieleweke tu.


Huyu si ndo alichaguliwa na wananchi ili akawatumikie halafu akaenda kuwatumikia mabwana zake (mafisadi)!!!!!!????

Kwanza nilishangaa hata kitendo cha yeye kupita kwenye kura za maoni. Niliwashangaa sana wana CCM.

Pia nitawashangaa watu wa kigoma kama atapata hata asilimia ishirini.
 
Kama mawakala wamesaini na msimamizi mkuu kasaini, yeye ni nani bana mpaka akatae? dogo kibri ilizidi mno. Waha walikuwa wanaonekana kama wakulima flani hivi na sasa wameamua. Kuna hatari MKOA Mzima ukawa umechukuliwa na wapinzani.

Kasulu mjini na vijijini - NCCR MAGEUZI kote kote. Tena kule vijijini kachukua mama mmoja ambaye mgombea wa CCM alikuwa anamponda ati ni ''standard seven na atakuwa anashangaa mataa tu ndani ya mjengo!

Kibondo mjini na vijijini - NCCR Mageuzi & CHADEMA. Ntagazwa Chali

Kigoma kaskazini - CHADEMA (Zitto)

Kigoma kusini - NCCR Mageuzi

Kigoma Mjini - CHADEMA?? Serukamba atasaini tu by the time ndoto yake itakapokwisha
 
Wamesahau kuwa walitukana mamba kabla ya kuvuka mto. hawa si walitukana sana Chadema ngoja wakione, washatia aibu hadi wanayarudia matapishi yao. maana walisema wapinzanio wajiandae kukubali matokeo

huo ndo ushindi wa lazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom