Peter (RIP) kaondoka kishujaa

Halafu kuna member mmoja humu Jf alikuwa anashauri tuwe tunapiga push up 320 kila asubuhi!nadhani alitaka kutuuwa hivi hivi bila huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent by Diaspora
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Yaani mshkaji kapiga pushups kafariki unasema kaondoka kishujaa... Na huyu mh rais wetu amepiga nyingi tu na ka survive si inabidi useme anaishi kishujaa...
Napiga za ukweli kafa, kapiga za kuibia kaishi... Maisha hayana formula

Jr[emoji769]
 
Mazoez yeyote unapotaka kufanya lazima uuandae mwili kwanza mfano stretching ya viungo nk, nahic ndio kosa la marehemu . .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujengeni tabia ya kupima afya zetu hasa sisi wanaume. Tuko wazembe sana na kwenda hospitalini mpaka tuumwe hata kama tuna bima. Utakuta katatizo kadogo kwenye moyo unakaa nako miaka na miaka na siku moja unazimika.

Mwanaume wa kisasa ni lazima ujue presha yako ikoje. Sukari yako imekaaje. Lehemu (cholesterol) kiwango gani, hali ya jumla ya moyo, figo, ini na tezi dume. Yote haya yanahitaji vipimo rahisi tu vya damu, EKG na vinginevyo. Kila mwaka tupime japo mara moja. Ni muhimu sana jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…