Mbona Mzee wetu mkuu alipiga za kutosha sasa huyu kijana wa dar imekuwaje tena,R.I.PAmeondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa anapiga push up,, akapiga ya kwanza, ya pili had ya nne akaanguka hapo hapo na kuaga dunia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
push up alizopiga Peter had wakat wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakat anaamka ndo alirud chin..... anaondokaView attachment 984617
Jr[emoji769]
Apumzike kwa amani....Ameondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa anapiga push up,, akapiga ya kwanza, ya pili had ya nne akaanguka hapo hapo na kuaga dunia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
push up alizopiga Peter had wakat wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakat anaamka ndo alirud chin..... anaondokaView attachment 984617
Jr[emoji769]
Kuna external force ilitumika[emoji125][emoji125][emoji125]Mbona Mzee wetu mkuu alipiga za kutosha sasa huyu kijana wa dar imekuwaje tena,R.I.P
Sent using Jamii Forums mobile app
IDM ipi jamani? Fikisha ujumbe vzr basi mkuu. Ni wahenga tu wanaijua hiyo IDMMwanachuo wa IDM
Jr[emoji769]