Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA

Chadema watakua wameiba Fedha za chama chao, ila ndege imekodiwa na mbunge wa CCM
Ndege haikukodiwa na mbunge wa ccm ila mbunge wa ccm alitoa Mali kauli sababu wanafahamiana kibiashara na mmiliki wa ndege, na chadema wakaja kulipa baadae.

Kwa nini alitoa Mali kauli?
Ni kwa sababu kampuni ya ndege uliyokua inataka kumsafirisha lissu ilitaka hela kwa dollar, na chadema pale Dodoma hawakua na hela inform of dollars, so Huyo mbunge wa ccm akawadhamini kwa Mali kauli..
 
Ndege aliyopanda lissu haikupita daresalam. Waliondoka usiku mnene Dodoma moja kwa moja Nairobi
mkuu usilijibu ilo pepo tu linasema uongo kweupe yamezoea kugeuza uongo kuwa kweli.ni liongo wala kweli haipo ndani yake ni moja la watu lililomkasirikia Mungu kwa kuutunza uhai wa Lisu.LIZEZETA TU LISILOJITAMBUA
 
Ndege haikukodiwa na mbunge wa ccm ila mbunge wa ccm alitoa Mali kauli sababu wanafahamiana kibiashara na mmiliki wa ndege, na chadema wakaja kulipa baadae.

Kwa nini alitoa Mali kauli?
Ni kwa sababu kampuni ya ndege uliyokua inataka kumsafirisha lissu ilitaka hela kwa dollar, na chadema pale Dodoma hawakua na hela inform of dollars, so Huyo mbunge wa ccm akawadhamini kwa Mali kauli..
Sasa ujui maana kudhamini, ujui mdhamini ndio anafanya jambo lifanikiwe, mfano bodi ya mikopo inadhamini wanafunzi elimu ya juu, wanao kosa udhamini wanakosa nafasi ya kuendelea Elimu ya juu
 
Hivi vigezo vya kumchagua spika ni vipi? hivi hapa vinazingatiwa?
Hekima
busara
weledi
Ucha Mungu
Mkweli
uadilifu
 
Ametoa au hakutoa,ccm au chadema, bunge au mbunge, serikali au wananchi,mwisho wa siku sote ni wa tanzania na tunawajibu wa kusaidiana kwenye raha au shida.
Niwaombe ndugu zangu tuya ache haya yote na tusonge mbele na shughuli zingine za maendeleo.
Tumuombe Mwenyezimungu amjaalie shifaa ndugu yetu Lissu na kila mmoja wetu afya njema
 
Mashabiki mtawafanya wabunge wasijisadie wanapopata na matatizo. Peter Msigwa na yeye hana tarifa vizuri. Anatafuta uruma kwa kutumia ajali ya Lissu Na sisi mashabiki tuwe Na akili kama siyo Turkey kujieleza tinge amini tote yaliyosemwa na msigwa
 
Back
Top Bottom