Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg
image.jpeg

Baada ya kauli ya Spika Bungeni,hivi ndivyo Mbunge Wa Iringa Mjini,Mh.Msigwa alivyomjibu kupitia mtandao wa FB akiwa Nairobi

"Spika Ndugai muogope Mungu,usilete utani katika maisha ya Mh Lissu, umeliongopea bunge na umma , gharama zote za ndege zimelipwa na CHADEMA na Watanzania. The parliament deserve better than you!"- Mh . Msigwa Nairobi.
 
View attachment 588058 View attachment 588059

Kulikuwa hakuna haja ya kumjibu
 
Hoja hapa inaweza ikawa je huyo mbunge wa CCM alitowa hiyo hela au hakutoa? Kama alitoa kwaajili ya ndege na chadema wakaweka kwenye matumizi mengine?
Kama mbunge wa CCM Hakutoa hiyo hela dola9000 sawa...
 
Document ya kufoji hiyo.
 
BUNGE LA 11 DODOMA: “Bunge halijashindwa kuhudumia matibabu ya Tundu Lissu anayetibiwa Nairobi,”- Spika Ndugai
“Ndege iliyompeleka Lissu Nairobi ilikodiwa kwa Dola za Marekani 9,200 na Mbunge wa CCM, Salim Hassan Abdullah,” – Spika Ndugai
 
Hoja hapa inaweza ikawa je huyo mbunge wa CCM alitowa hiyo hela au hakutoa? Kama alitoa kwaajili ya ndege na chadema wakaweka kwenye matumizi mengine?
Kama mbunge wa CCM Hakutoa hiyo hela dola9000 sawa...
Kuna hatari ya pesa iliyotolewa na mbunge wa CCM kutumiwa ndivyo sivyo na viongozi wa CDM. Kuna jambo la kuhoji.
Tunmtakia kila la kheri Lissu apone haraka.
 
Back
Top Bottom