Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA

Hoja hapa inaweza ikawa je huyo mbunge wa CCM alitowa hiyo hela au hakutoa? Kama alitoa kwaajili ya ndege na chadema wakaweka kwenye matumizi mengine?
Kama mbunge wa CCM Hakutoa hiyo hela dola9000 sawa...
Wewe Fala hapa tunaongelea bunge ambalo ni taasisi anayoifanyia LISSU
 
Unajua maana ya rufaa? wanatoa rufaa baada ya kuhakikisha kweli wameshindwa kutatua tatizo....!
Wakishindwa tatizo na sumu infection ya risasi imeshasamba mwilini au itakuwa inasubiri ukiritimba wenu?hivi nyie ma ccm akili huwa mnaziweka wapi?
 
Wamezima bunge tunawapata live social media raha ya huku hakuna mwongozo unafunguka tu
 
MOI vipi? Kwani ni serekali ndio waliopeleka huko? Tulisema hakukua na usalama ndio tukampeleka huko. Sasa tunalaumu nini? Tuliambiwa ni gharama zao. Ngoma inakuwa ngumu tunalia. Waombe tu serekali ni wasaidie gharama. Sio kulalamika.
 
We jamaa wa Lumumba sio kila bidhaa au huduma inatozwa kodi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa si kila anayehoji ni lumumba. Mimi ni EFD specialist na najua kwamba malipo yeyote yenye Kodi na Yasiyotozwa Kodi kwa Biashara yenye turn over above 14m lazima yatolewe Risiti ya TRA au Tax Invoice yenye Signature ya TRA. Nadhani Umenielewa.
 
Kuna Ndege mbili jamani tusichanganye...Iliyomtoa Dodoma kwenda Dar na iliyomtoa Dar hadi Nairobi. Tusichanganye

Acha mambo ya kise.nge wewe.....hiyo ndege iliyokuja dar ilikuwa ya kwako metumwa au??umesoma invoice hapo huoni imeandikwa kutoka Dodoma to Nairobi huoni aibu au??
 
haa haa sasa nani hapo apelekwe kwenye kamati ya maadili? haa haa spika anatumia vibaya kamati za bunge. siwezi amini mbunge wa ccm alipe dola hizo.uwongo.
 
Back
Top Bottom