lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,467
- 9,053
Just take a break INGENJA ...hapa kuna wagombea wengine wanaamini walichaguliwa na kupata ushindi halali wa kura za wananchi lakini matokeo yakachakachuliwa, wana mpaka ushahidi kuhalalisha madai yao. Unawashauri wafanyeje maana walichoamini ndicho bado wanakiamini na wote tumeona matokeo, na waliowapigia kura ndio wanategemea wafanya hivyo pia wakati huu!Nadhani tukitafakari kwa undani hii kauli inavigusa hata vyama vyetu vya upinzani..!!Kama tangia mfumo wa vyama vingi wagombea ni walewale,hawataki ku raise watu wengi au damu changa kuleta challenge katika system,wengine uchaguzi ulio pita hawakushinda lakini wanataka round nyingine badala ya kupisha waje wengine kushika nafasi zao baada ya wao kufail...Hata hao tukiwapa nchi still mambo yatakuwa yaleyale sababu hata wao hawana muono mpya .
kama huwezi kujifunza kupitia weakness za unaemuona adui kwako ,kamwe huwezi kumshinda wala kuwa na ubavu wakupambana nae katika uwanja wa vita