Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,772
- 28,826
Aliyeenda kimyakimya anajulika usiseme "wengine "!Chivayo ameenda na mabilioni ya wakuu wa nchi kadhaa ,wengine wameenda kimya kimya kuulizia kwa ndugu zake.

Kwa hiyo anaenda kuwaliza mara ya pili??Wow! Appearance ya Msechu inafanana na Chivayo.
Na iwe kweli.Akirudi ni direct kule majini