Fuatilia hapa Hafla ya Kupokea Wanachama Wapya wa Vyuo Vikuu wa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo, leo Juni 14, 2026, inayofanyika katika Jengo la Maalim Seif, Magomeni, Dar es Salaam.
Viongozi Wakuu: Ado Shaibu (Katibu Mkuu) na Abdul Nondo (Mwenyekiti Ngome ya Vijana Taifa)...