Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

Hii huwa naitaza mara elfu. Hatari sana.
 

Daaah nakumbuka mashairi haya Barca akifa mbele ya Roma
 

Hii introduction ilinisisimua sana
 
Sasa hapa najaribu kulinganisha na hawa watangazaji wetu wanaotangaza upande mmoja tu
 
 
Baraka mpenja hua anamuiga huyu jamaa sana tu
mfano mechi ya simba na yanga lile goli la onyango baraka alichukua mistari ya peter drury

"Never ever prejudge a football match do not come with your script in the football match ........
 
Hii namba 2 ilikuwa hatari sana, huyu kiumbe ana maneno aisee
 
Kweli kabisa mkuu. Nilifikiri ni mimi tu ndiye namhusudu huyu mtangazaji na pacha wake Jimmy Belgrin. Hawa watangazji huwa naelewa sana.
 
Kinachotuzingua sisi ni ule unazi wa simba na yanga
Kuna siku niliangalia pambano la masumbwi kati ya mwakinyo na yule bondia sijui wa wapi nimesahau ila ni lile pambano la juzi juzi hapa, yn watangazaji wa Azam mpk nikawa nafeel ku vomit kwa kichefuchefu nilichokipata yn wanatangaza hovyo sn mpk aibu, wanatangaza kihuni huni, hovyo hovyo, kinazi yn ni kama wahuni fulani wamepewa maiki, ofcz ckutamani tena kuwasikiliza mana umakini ulipotea kabisa kwa utangazaji mby na unaokera kama ule.

Hovyo sn waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…