Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?

kwahyo mtu anavaa kama matatu mkono mmoja hachok?
Nasikia wanaume wa kiislamu baadhi ya madhehebu hawaruhusiwi kuvaa gold. Hii silver inawahusu sana.
Ndugu, hayo yana kazi maalumu ...
Ukifuatilia utakuta yana mchanganyiko na vito vingine...
Hukuwahi kumsikiliza Shekh Yahya akiongelea hayo makitu... na kinga sijui ya vitu gani??
duh! Ama kwel, walioko humu hawawez kutwambia watasoma na kupita tu.
Inategemea Pete unayo vaa ina kazi gani ?kila pete ina kazi yake kuna pete za bahati kuna pete za uchawi kuna pete za kinga kuna pete za mapenzi inategemea wewe umezaliwa Tarehe gani? unahitaji pete ya aiana gani? Mkuu ukihitaji maelezo zaidi ya pete nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?
Inategemea Pete unayo vaa ina kazi gani ?kila pete ina kazi yake kuna pete za bahati kuna pete za uchawi kuna pete za kinga kuna pete za mapenzi inategemea wewe umezaliwa Tarehe gani? unahitaji pete ya aiana gani? Mkuu ukihitaji maelezo zaidi ya pete nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano