Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,723
- 11,336
Tangu nivae pete ndo nimekuwa nikipata mademu wakali zaidi na wenye heshima zao
hii kitu ina ukweli wenye pete wanaongoza kwa kupata vitu vya ukweli
Tangu nivae pete ndo nimekuwa nikipata mademu wakali zaidi na wenye heshima zao