Pete ya mafanikio

Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Ni uppuzi mtupu .Mimi nimeona umeandika mambo ambayo ni ushetani na ushirikina na yasiyo na uhalisia. Yale ambayo mganga anaahidi kukupa utajiri wake yeye anaishi maisha magumu kupindukia.
Hukuwa na haja ya kusoma yale yanayokutia hamasa ya kukereka mkuu,

Rakims
 
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
532
Points
250
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
532 250
YAKUTI YA NJANO:

View attachment 1109461

Yakuti ya njano ni moja kati ya mawe yanayo thaminishwa sana katika ulimwengu wa kiroho kwa faida nyingi za kimwili na kiroho hasa katika maisha ya kila siku ya mwanadamu tangu zama za kale na pia ni moja ya mawe makuu katika mlolongo wa mawe 9 yenye thamani na matokeo yaliyokwisha jaribiwa kisayansi na kiroho na kuonekana faida zake kwa uwazi na uthibitisho siku 6 tangu kuanza kutumiwa kwake na mtumiaji wahindi hufahamu jiwe hili kama Jiwe la Pukhraj au Push Raja na peetmani, jiwe hili linapewa nafasi muhimu sana katika ulimwengu wa kinyota na linaaminika kubeba nguvu za sayari ya mushtara au Jupiter unavyoijua wewe:

Jupiter ni sayari ambayo ndio nzito zaidi katika mihimili ya Solar system hivyo ukubwa huu na nguvu zake basi kama yaliyo mawe mengine yanavyofananishwa na sayari zilizopo juu na kuwakilishwa basi jiwe ka Yakuti ya Njano ndio pia linafananishwa na Sayari hii yenye siri nyingi za kiroho katika mafanikio mvaaji wa pete au jiwe hili anatakiwa afahamu kabisa kwamba jiwe hili linavaliwa na watu maalum ambao ndio nyota yao hutawala na kupokea nguvu kirahisi kwenye jiwe hili kulingana na kila saa ya sayari hiyo inapozunguka kiduniani hapa yaani wakati ambao dunia huwa imezungukia katika Jupiter au uelekeo wa dunia sehemu ambayo inaangalia jupiter na saa hiyo inapokuwa imemfikia mvaaji wa jiwe hili basi humjaza nguvu za Jupiter kwa wakati huo wengine husema nyota humuwakia kwa kipindi hicho basi saa hiyo yeye chochote anachofanya kiliopo chini ya uwezo wa jupiter basi huweza kukifanikisha:

Mambo yanayotawaliwa na sayari ya Jupiter na kama wewe upo kwenye nyota rafiki za Jupiter basi utayafanikisha kirahisi
Mambo hayo ni:
Kuota maono,
Kuota mambo yajayo,
Kipato kuongezeka,
Kuona au kubashiria madini,
Kupata urahisi wa mali,
Ulaini wa mambo,
Urahimu,
Akili,
Upole,
Mafanikio ya Kiserikali
Haya,
Kupona shinikizo la damu,
Kung'ara kwa nyota,
Kuwekwa karibu na uongozi,
Kushilikishwa safari na kazi,
Mafanikio kibiashara,
Kuoa au kuolewa.

Na mengineyo mfano wa hayo kumbuka ni kwa wenye nyota ambazo zina husiana na pia zina urafiki na sayari hiyo ya Jupiter hii ni faida za sayari hiyo na nyota hizo ni
kama Ifuatavyo:
Nyota ya Simba (LEO) Mshale (Sagittarius) na Samaki (Pisces)

Madini mazuri ya kuvalia ni BATI au SILVER

Yakuti ya Njano huendana zaidi na nyota hizo Hii ni kwa sababu nyota hizi zina urafiki na sayari ya Jupiter.

Jiwe hili hupatikana zaidi Nigeria, USA, Cambodia, India, Thailand, Kenya, Nepal na Sri Lanka.


FAIDA ZA YAKUTI YA NJANO YENYEWE KAMA YENYEWE:

Jiwe hili humlinda mvaaji kutokukumbwa na mashetani au uchawi wao na humfanya mwenye kuvaa kuwa na tabasamu sana na mwenye furaha mara nyingi anapokuwa nalo hasa mwanamke,
Kama mvaaji ni mwanamke basi humfanya apendwe zaidi na kusifiwa kwa nyanja yoyote aliyopo na kuonekana bila yeye mambo hayaendi pia kumfanya avutie zaidi kwa kupendeka na kuonekana lakini humrekebishia pia maisha yake ya kindowa au kumvutia mume,

Katika tamaduni za Kihindi mtu akivaa pete inayowakilisha Jupiter huitwa Guru au mwalimu wa kiroho kwa ukubwa wake, hivyo. Waandishi wa habari,wanasheria,majudge,waalimu na wanazuoni wa kihindi hujiongezea nguvu zaidi wanapovaa jiwe hili kwa imani zao, kwenye series na habari zao utaona wanapete mbili hadi tatu vidoleni zikiwa na mawe tofauti hawavai mapambo wakuu,
Nguvu na uadilifu katika imani yao basi jiwe hili huwafanya kuwa wenye nguvu kimaamuzi, wenye kuweza kuhimili mambo magumu yanapowakuta au katika kushindanisha vitu au kesi wengine huvaa kama cheni, na huwafanya waweze kuongea vema kiakili na kwa busara na utulivu na upole na heshima kabisa na kutiia kama wakuu fulani ndio maana kuna nyakati unaona wanazungumza na mtu hadi anaweza kulia sio movies walioishi nao wanajua hivi vitu pia, na pia huwafanya wafikie mafanikio makubwa sana katika maisha yao ya kila siku ndio maana leo unaona wapo karibu sana na wachina pamoja na wazungu kwa sababu wamehifadhi na kutukuza asili zao wewe kalia kuona mtu akifanya jambo la kiroho tofauti na uislamu na ukristo ni uchawi utabaki hivyo hivyo,

Jiwe hili pia hujulikana kwa uwezo wake wa kuponya maradhi ya figo hasa kwa wafanyaji wa massage hutumia pia na mdomo,mifupa,kikohozi,mafua,kupoteza kumbukumbu na kuondosha homa za masaa,
Nguvu yake pia humlinda mvaaji na Ajali za kizembe pamoja na maneno ya kijinga na kumletea utulivu wa akili,maarifa humuongezea na furaha pia.
humsaidia mtu kutokukasirika hovyo na kununa nuna au kususa kusikokuwa na maana pamoja na kumuweka sana kifikra na kumkinga na chuma ulete pia na kutokunyolewa nywele usiku,
Kwa kuvaa jiwe hili basi mtu huwa katika jiwe sawa na wale wanaoanza kutaka kupata nguvu ya mawe hushauliwa kutumia hili kwa maana lina matokeo ya haraka zaidi likifuatiwa na Almasi,
Mvaaji wa pete au jiwe hili basi hukingwa na yanayoweza kumletea udhalilifu kukinai mambo ya hatari kumtolea addicted ya vitu visivyo na faida na kumuwekea akili sawa asiweze kujiingiza kwenye mapenzi kupitiliza au kumletea unyonge wa kukutana kimwili na yoyote mwenye maradhi ya kingono anayoweza kumuambukiza, na humfanya awe sahihi kwa maamuzi yake, humfanya mvaaji kuwa vema kwenye kazi hasa biashara na kumvutia wateja hata kama kaajiliwa hasa kwa siku ya jumapili na Alhamis humpa mtu mamlaka na kumfanya apande cheo ikiwa atafuata taratibu za uvaaji wake kila siku au baadhi ya siku kwa ambao sio rafiki na sayari hiyo,

Hupunguza mafuta mwilini kwa mvaaji na humponya magonjwa ya ngozi na koo, na inajulikana sana katika kuponya shinikizo au mgandamizo wa damu na kubalance presha.

Mwenye kuvaa pete au kubeba jiwe hili basi atafanya mengi ya kiroho na miujiza bila yeye kutegemea kwa kuamuru hata kwa imani yake ya dini.


WANAOWEZA KUVAA YAKUTI YA NJANO

Kama mwenye kuvaa pete hii ana nyota ya Mshale au Samaki
au aliyechomozewa na nyota moja kati ya hizo hata kama nyota yake ni nyingine lakini uchomozaji upo kwenye moja ya nyota hizo basi atapata faida hizi siku yoyote saa yoyote atakayo vaa na kwa haraka ataanza kuona mabadiliko hasa katika bahati nasibu kwa wacheza kamali, bahati ya kupendwa ghafla, na zote nilizotaja hapo.

Kwa aliye na nyota ya Kaa au punda au aliyechomozewa na nyota ya kaa au punda yeye humletea kinga,baraka,usalama,na kupanda cheo tu.

Wengine wenye nyota tofauti wao hupata bahati na kinga tu kwenye jiwe hili.

UVAAJI WA PETE HII
Pete hii inapendeza zaidi kuvaliwa kidole cha shahada(index) kwa wanaume wa dini yoyote na kushoto kwa wanawake,
Lakini kwa waislamu inapendeza zaidi kuvaa mkono wa kulia kidole cha pete hasa kuepukana na sunnah za mtume kuvaa pete mkono wa kulia.
Na siku nzuri ya kuanza kuvaa pete hii ni alhamisi asubuhi au siku yoyote mwezi ukiwa umeanza kuchomoza ndani ya siku ya 1-7 au kwenye mwezi mpevu,
Usivae mwezi ukiwa unahama au upo gizani.

Wapi pa kuipata

Mimi ninayo moja tu kwa atakaye hitaji ninaiuza sh. 600,000/=
vile ina crack ndogo ya ndani kama mstari hivi,
View attachment 1109462
Wengine wenye kuhitaji agiza online zipo

Zinauzwa 739,590/= hadi 1,253,590/=
View attachment 1109687
Inategemea na ukubwa na pia ukipata ndogo sana zina 365,590/=
View attachment 1109690
Jitahidi upate ambayo ni pure otherwise utapata za 50,000-100,000/= ambazo ni goroli sio pure
View attachment 1109689

Kwa asiyeelewa nazungumzia nini na wapiga zogo pitia hii thread uelewe kidogokama una swali ambalo ni personal na upo nje ya forum:

Wasiliana nami kupitia email hii:

Rakimsspiritual@gmail.com

au namba hii ya mtu aliye karibu nami

+255626085437

Rakims
Alieumba hilo jiwe ndie anaeweza kuleta effect tajwa katika maisha yako
Jiwe halifanyi chochote bila ya idhini alieliumba jiwe ilo.
So what is USHIRIKINA?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Alieumba hilo jiwe ndie anaeweza kuleta effect tajwa katika maisha yako
Jiwe halifanyi chochote bila ya idhini alieliumba jiwe ilo.
So what is USHIRIKINA?
Ushirikina is where by someone pray to other Gods where he believe that this is God,

Nini maana ya USHIRIKINA katika imani yako?

Rakims
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
6,339
Points
2,000
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
6,339 2,000
Hiyo ni thamani ya jiwe lenyewe, kama vile unapovaa pete ya dhahabu, ukiwa mshambamshamba utapata tabu kumuelewa.
Hivi kwa akili ya kawaida mtu akupe Pete kwa 600k alafu wewe ukapate mamilion kwanini asivae yeye ili apate hizo hela nyingi?acheni utapeli bhanàaa mungu anatosha,fedha na dhahabu ni Mali ya mungu.
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Hiyo ni thamani ya jiwe lenyewe, kama vile unapovaa pete ya dhahabu, ukiwa mshambamshamba utapata tabu kumuelewa.
Heri unisaidie kuwaelewesha kama unafahamu thamani za stones, maana watu wanadhani nauza mawe kwa mfano niliyotoa

Rakims
 
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
532
Points
250
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
532 250
Ushirikina is where by someone pray to other Gods where he believe that this is God,

Nini maana ya USHIRIKINA katika imani yako?

Rakims
Upo sawa sawa sana tuu mr rakim ila hapa naona jiwe unaligeuza kuwa mungu.
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Upo sawa sawa sana tuu mr rakim ila hapa naona jiwe unaligeuza kuwa mungu.
Hapana mkuu, sijasema mtu Aabudu jiwe au ategemee jiwe isipokuwa possibilities za faida za jiwe ni hizo kiroho, na aliyeumba ni Mungu

Rakims
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,605
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,605 2,000
sasa mkuu Pete hizi tuna pata wapi na zina patikana kwa bei gani?
Achana na hayo mambo..fanya kazi kwa bidii, kua na nidham ya pesa, zidi kusali kwa Mungu. Yako mambo mengi yamefichwa nyuma ya hizo pete unazotaka ila hutawekwa wazi hapa.

Najua tu atakuja na hoja ya kupinga ila ukweli utabak kua kweli
 
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,552
Points
2,000
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,552 2,000
Sitakuja kuvaa hizo pete, na nikikutana na mtu amevaaga hayo hata mkono huwa simpi!
 
LOVE U JF

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
422
Points
500
LOVE U JF

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2018
422 500
Ndgu
mkuu Rakims nimekufatilia nyuzi zako since 6s ago, kwa mada zako za utajiri,bahati, kuwin kamari, kumiliki majini ya pesa meditation ya kuomba chochote utakacho na ukapata!, etc! leo umekuja na ma'issue ya mapete kwamba umebaki nayo moja unauza 600k, kwamba kama kuna mtu mwingine anahitaji zipo hadi za 350k kuringna na hitaji la mteja...

swali je,? kutokana na mada unazoandika hum kuwavuta watu hivi kweli ww ni mtu wa kuhangaika kutafuta 600k wajeja wa mapete?
Mimi mwenyewe hapo ndpo hupata shida na hawa binadamu waganga anakuambia nipe elf 50 nikupe utajiri as if utajiri yeye hautaki , kwenye hyo 50 anayokuomba ukimuongezea kiasi anakubali ila isipungue.

Hitimisho: Dawa ya mafanikio ni kufanya kazi tu, hao wauza mawe na utabili ni utapeli kama kubet
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
12,102
Points
2,000
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
12,102 2,000
Mkuu samahani, naomba unifafanulie mechanism yake hadi kuleta bahati na utajiri. Mi naona ni madini tu kama madini mengine,
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Achana na hayo mambo..fanya kazi kwa bidii, kua na nidham ya pesa, zidi kusali kwa Mungu. Yako mambo mengi yamefichwa nyuma ya hizo pete unazotaka ila hutawekwa wazi hapa.

Najua tu atakuja na hoja ya kupinga ila ukweli utabak kua kweli
Mkuu siwezi kukupinga maana kila mtu na elimu zake ndio maana wengine watakwambia ukitaka mschana choma ubani wengine watakwambia choma kash kash, sina haja ya kukupinga mkuu,

Rakims
 

Forum statistics

Threads 1,336,205
Members 512,562
Posts 32,530,421
Top