ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Habarini marafiki zangu wa moyoni Mnaendelea vizuri Imenipendeza leo niwape kasomo kadogo hasa WANAWAKE / WADADA wenzangu wote walioko mtandaoni hapa sitopenda kuwahuzunisha wala kuwasema vibaya bali ni kuwaweka sawa juu ya hawa ndugu zetu akina Bujibuji, kwani hawa watu tunaowaona ni ndugu zetu na marafiki zetu ni watu WASIOTABIRIKA wanaweza leo wakawa wema kwako na kesho wakakugeuka wakawa nyang'au wasiowapenda na kusema yule bidada mshamsaranda hana lake na ana mpango wowote inabidi tuwe macho nao na ni watu wa aina hii ni wafitiniti wakubwa ndo maana tumepewa hekima ya kuishi SIO KILA MTU ULIYENAYE UMEANDIKIWA NDOA NAE Sio kila Relationship imeandikwa ifikie ndoa!
- Ingia kwenye Mapenzi with less expectations, itakusaidia, sio kila Mwanaume anayekuja kwako we unawaza pete tu pete tu, wengine wanaletwa na Mungu kukufunza mambo flani, learn through the process, ukiingia ndoa bila Material ya kutosha ndo hizi ndoa za Crush Programme hazivuki hata Probation ya 2 months watu chali... Too much expectations will give you Surprises!kwa akili nyingi sana. Mabestito na mashostito tafadhalini sana kuweni makini nao na kuwa mtu mwenye hekima na busara nao na dhidi kumwomba Mungu akupe yule akutokaye kwake usikurupuke wala usimpende kutokana na vile alivyo au jinsi ya vitu alivyonavyo bali mpende kwa moyo wako wote na akili zako zote ishi ukijua kuwa si kila MWANAUME ni wa kukuoa au kukuvalisha PETE bestito utajuta baadaye kuwa makini na ishi kwa malengo kivyakovyako tu . Nawatakia siku njema na mjifunze haya niliyowapa leo hili ni somo letu sote na sijamtaja mtu yeyote naomba marafiki zangu msinukuu vibaya hapa ni somo la kuwekana sawa tu na kujifunza hasa sisi madada Nawapenda nyote

Last edited by a moderator: