Hahahaha hii bajeti kale kitimoto rost, Wine, na maji kubwa na utapata nauli ya bajajiNiko na bajeti ya 50,000 hapa naweza kupata pete pure gold hasa Dar..?
Hujakua ukikua na ukafikia kufanya hivo wala hutauliza utafanya gram moja point 6 ndio bei zake gold sio copper sheikheSiwezi nunua pete pesa zote hzo.. Hiki kahela kangu nitapiga nyama kuku wiki nzima dadeq