Pete kwenye vidole vya miguu ni pambo ama ni ujumbe?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Hebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa...

Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu?

Hahaha Msiniseme lakini...

1620910265180.png

Mimi niliwahi kusikia tu tafsiri ya vikuku/vile vicheni miguuni kuhusu vipete hata mimi mgeni kwakweli.
 
Niliambiwaga na dada m1 kuwa inamaana kama huna pesa usimfuate ana wenyewe!!!!!! Ila ata sion kama ina mantik yoyote.
 
Nafikiri ni urembo tu hamna ujumbe wowote.

Wabongo nao wana vitafsiri hewa vingi.
 
Hebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa...

Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu?

Hahaha Msiniseme lakini...
Ni mapambo tuu mpaka ivaliwe kwa maana maalum
d9aabeedb6a156ccf3283d6e3078b083.jpg
huu ni urembo wa kawaida
44ef4f9decba2672f2bbf208c9eef6ce.jpg
Hii ni alama ya satanism huyo kavaa serpent, nyoka wa eden
Kwa wahindi wao wanasema inasaidia kuubana uke.
 
Wearing a ring is a distinction of honour, but wearing many rings is usually a sign of someone who wants to attract attention to themselves, however many rings are a detraction from the personality, and perhaps a sign of low-self confidence
Watu wenye upungufu wa kisaikolojia hupenda kufidia udhaifu huo kwa extreme makeups na mapambo
Unakuta mtu huyo huyo kavaa
Vidani zaidi ya kimoja
Pete nyingi
Vishaufu mpaka kitovuni
Vikuku na shanga miguuni mikononi kiunoni shingoni nk nk
Na mara nyingi ni wale warefu kwenda chini kama salama
 
Hebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa...

Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu?

Hahaha Msiniseme lakini...
Binafsi nikikutana na wastaili hii huwa nafikili ni vyura vinaojiuza
 
Watu wenye upungufu wa kisaikolojia hupenda kufidia udhaifu huo kwa extreme makeups na mapambo
Unakuta mtu huyo huyo kavaa
Vidani zaidi ya kimoja
Pete nyingi
Vishaufu mpaka kitovuni
Vikuku na shanga miguuni mikononi kiunoni shingoni nk nk
Na mara nyingi ni wale warefu kwenda chini kama salama

Aaah!
Mshana vishaufu ndio vikoje hivyo?
 
Back
Top Bottom