Pesa za kigeugeu

Pesa za kigeugeu

mnasahau Advance? Wafanyakazi wa makampuni binafsi na wa majumbani lazima wapate hiyo Advance.
 
Pesa pesa pesa...
  • Haina dini
  • Haina rangi (race)
  • Haina kabila
  • Haina nchi
  • Haina thamani (thamani ni kile kitu ukinunuacho, mfano pap...)
  • haipatikani kirahisi
  • Ndogo kama kibamia🙂 (portable)
  • Inadumu
  • Haigawanyiki
  • Haibadiliki
  • Inakubalika popote pale
 
Kwenye lugha ya kikikuyu, hela mfukoni wanaziitaga 'kafa gue', yaani, afadhali nife! 🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom