Jini mkubwa ni ukosefu wa nidhamu ya matumizi .... hili tatizo ni cancer inayo tutafuna vijana wengi wa taifa hiliEti unakutana na Jamaa anamtoa demu wake shopping anasema waende Mr. Price!!! Humo ndani pensi tu unaikuta inauzwa 30k bado hujanunua T-shirt nayo unaambiwa 55k. Hujauliza viatu hapo!!!!!
Lazma pesa ziwe na majini kwa maana jini Wa kwanza ni matumizi ya ovyo ovyo.
Kuna marafiki zangu ukiingia ghettoni kwao kumejaa electronics kuanzia home theatre sio subwoofer, sofa sets, HD television ya inch 32, viatu kama pair 10 hivi, mabegi ya nguo matatu makubwa.Jini mkubwa ni ukosefu wa nidhamu ya matumizi .... hili tatizo ni cancer inayo tutafuna vijana wengi wa taifa hili
Hahaa haaKuna marafiki zangu ukiingia ghettoni kwao kumejaa electronics kuanzia home theatre sio subwoofer, sofa sets, HD television ya inch 32, viatu kama pair 10 hivi, mabegi ya nguo matatu makubwa.
Halafu alivyo taahira anakuja kulialia kwangu nimkope pesa ya msosi.
Nikaona huyu ni mjinga Wa mwisho duniani, unanunua kila siku viatu ila msosi ndani hakuna!!!
Chuoni tunaona mambo mengi sana kuhusu bajeti mpaka matumizi ya marafiki zetu!!!
Huwa nawachana makavu marafiki zangu wakifanya ujinga kwenye anga zanguHahaa haa
Kwahiyo kama ni geto hivyo vitu unavipata bure??Mm nimekaa nje kuna baadhi ya gharama nimeziespace mfano:
Maji ya kunywa pamoja na lunch pamoja na breakfast vyote ni ghetto. Sasa mwingine nenda hill park au Coet upande Wa staff....
Labda unielewe vibaya mkuu ila nia yangu ilikuwa ni kukazia kuhusu matumizi katika vitu vyenye msingi hasa katika maisha ya chuoni.Kwahiyo kama ni geto hivyo vitu unavipata bure??
Uwe unakaa hostel au geto kama una matumizi mabaya huwezi kutokuishiwa
Ivi siku hizi boom mnapewa laki tano Kwa mwezi . Kumbe mna pesa nyingi SanaLaki tano ya chuo hasa ya boom sio pesa kabisa ndani ya week 1 au 2 unakuwa mweupee peee, sijui zina nini zile pesa aisee.
mwaka mmoja nimewez kuweka 1M ya boom na kuspend 1M hapo nimenunua nguo za kutosha sim ya maan kula nk
ukiwa moro lkn cz maish ya moro simpo sana
Sijawaii toboa mweziii na pesa Boom.. Yaniii nilikuwa nikiendaa kuitoa kwa ATM daaah najionaa bongee la boss kubwa.. Sasa week tu. Sina hata MiaIvi siku hizi boom mnapewa laki tano Kwa mwezi . Kumbe mna pesa nyingi Sana
Matumizi yako tu mabovu...pesa inajitosheleza kabisa ukiishi kwa bajeti...tatizo vijana wa chuo wanapenda kuishi maisha fake.Laki tano ya chuo hasa ya boom sio pesa kabisa ndani ya week 1 au 2 unakuwa mweupee peee, sijui zina nini zile pesa aisee.
Acha ubahili kazitumie pesa hata Buguruni Rozana.Boom in mipango tu!! Mfano mimi nipo mwaia Wa 2 ila kwenye akaunti yangu bado inasoma 460k. Na nimepanga nje sio kukaa hostel. Ukielewa maisha unayotaka kuishi mbona boom linabakiza chenji kabsa....
Kila siku movie mlimani city, shopping aura mall then lunch marry brown halafu unataka pesa za boom zisiwe na majini????
Acha ubahili kazitumie pesa hata Buguruni Rozana.
Hahahahaa kwamba after one week salio lote kwishnei... baada ya hapo unajikita kwenye masomo vizuri.Sasa hivi siyo boom bali mkopo. Enzi zetu boom shilingi 3,000. Unakwenda pale kwa Mama Nguruwe unatwanga bia zako ndani ya wiki moja zimekwisha. Baada ya hapo ndo unaanza kufuatilia masomo vizuri. Hakuna wasiwasi kuhusu chakula wala malazi hadi semester inakwisha unasubiri tena boom nyingine.
Hahahaaaa.... raha ya boom kuhonga! Alisikika muhenga mmoja akinena!Boom langu chuo hata cku li enjoy nilipataga limwanamke nilikuwa nalipenda lilikuwa linanitesa ilo bac nikawanaliongaga mpaka bac yani boom cku enjoy ila mshahara tuu na na uenjoy saiz yani ninekuwa mbahiri balaa nautumia vzr mshahara hatari.
Kuna vyuo, wanapiga laki 6+.Kumbe mnapewa laki tano wenzenu tulikuwa tunapewa laki na nusu ila tuliweza kusoma na kumaliza.