P J O
JF-Expert Member
- May 3, 2024
- 241
- 315
Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa.
Yamesomba nyumba nyingi na eneo ilo Kila Leo nyumba nyingi zinaendelea kuanguka kutokana na uharibifu wa mazingira.
Pesa Ya El Nino iliopaswa kusaidiwa waathirika, Leo serikali na mamlaka husika wa mazingira inaruhusu hiki kitu kiasi cha kuathiri maisha ya kaya nyingi masikini wanaoishi ukanda huu.
Barabara za lami kuelekea machinjioni zimeathiwa vibaya pia kutokana na hili.
Serikali imefumbia macho Kwa miaka yote hii.