Ndg Wanajamvi kama nilivoandika hapo kwenye heading... Walimu wa ajira hzi za mwezi april znatufanya tunaishi kama njiwa ugenini mpaka muda huu kuna halmashauri hazijatoa pesa ya kujikim ikiwemo sengerema, misungwi, ukerewe, magu. Na sehem nyingne nying yaani kwa kifupi tunateseka hapo nmetaja halmashauri zilizoko mkoa wa mwanza kwa sababu mm mwenyewe ni mhanga... msaada jamani kwa anaeweza kua na namba ya waziri wa tamisemi maana huku wakurugenzi wanatutesa jamani ukizingatia tuko ugenini... msaada wenu wana jamvi.