Pesa Ya Kujikim Kwa Walimu Ajira Mpya Imekua Shubiri Kwa Baadhi Ya Halmashauri.

victer

Member
Jun 23, 2012
58
95
Ndg Wanajamvi kama nilivoandika hapo kwenye heading... Walimu wa ajira hzi za mwezi april znatufanya tunaishi kama njiwa ugenini mpaka muda huu kuna halmashauri hazijatoa pesa ya kujikim ikiwemo sengerema, misungwi, ukerewe, magu. Na sehem nyingne nying yaani kwa kifupi tunateseka hapo nmetaja halmashauri zilizoko mkoa wa mwanza kwa sababu mm mwenyewe ni mhanga... msaada jamani kwa anaeweza kua na namba ya waziri wa tamisemi maana huku wakurugenzi wanatutesa jamani ukizingatia tuko ugenini... msaada wenu wana jamvi.
 

Ugiligili

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
2,843
2,000
..poleni sana jamani..vumilieni tu wapendwa cuz mmeshaajiriwa..hayo mengine yatafuata(ni haki yenu lazima mtapata tu) ..
 

mo effect

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
558
1,000
Milikuwa mnalilia ajira mmepewa tena mnalilia pesa ya kujikimu...si mshukuru kwa hicho kidogo hamjui kuna wenzenu huku mtaani hawaelewi hatima yao...kopeni tu mpaka mshahara ufike..
 

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
32,568
2,000
Watu wapo busy tena bora umeanzisha uzi kama wapo watawakumbuka ila mlishasahaulika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom