Pesa ya kijinga uliyowahi kuipiga.

Pesa ya kijinga uliyowahi kuipiga.

nilikuwa na mchezo mchafu wa ku peleka pesa natoa zero ya mwisho narudisha karatasi wanaangaliia tarakimu tu wanaweka pembeni mfano kama ni 380,000 naweka 38000 kwa muhindi na alikuwa mdada mmoja hajui kusoma vizuri anaandika kumbe mzee nisha kata zangu mfukoni, nilifanya kazi miezi miwili walivyo shtuka siku moja sikurudi kazini tena. na nilikuwa nawaandikia kwa kingeleza yale maneno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom