Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

"Nilikuwa nasubiri UDOM nao wagome, ningetimua wote" - JPM
 
Sua wamesema tubaki nyumbani, mpaka watakapo toa taarifa nyingine.... Hivi pesa zimepelekwa wapi namaniiiiiiii
Sua tuendelee tuu kukaa home maana hakieleweki. Ndalichako na board ya mikopo ni vitu viwili tofauti. Mm naona serikali kuu kitengo cha elimu ya juu iangalie hili tatizo hili kwa jicho la tofauti, la sivyo mwaka huu field nothing kwani muda unazidi kuyoyoma.
 
SUA nimeona hadi mwaka wa 3 education wanaenda field? Hili jipu liangaliwe
 
Daruso haiwezi pambana na mihimili now days kama serikali yenyewe haijabadilisha maamuzi ya kureport trh 8 basi itakulazimu uende
Utaendaje huna pesa think twice, afu usifikirie kila mtu anatoka familia bora wengine boom hilo ndio kila kitu kulikosa linakwamisha kila kitu
 
Utaendaje huna pesa think twice, afu usifikirie kila mtu anatoka familia bora wengine boom hilo ndio kila kitu kulikosa linakwamisha kila kitu
Ndugu kureport ishakua lazima uwe na pesa au huna tatizo lishatokea no way out
 
Back
Top Bottom