Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Bodi ya mikopo ilisema field practical isogezwe mbele kwa wiki mbili kuanzia tarehe 25.07.2016 na wanufaika wataingiziwa pesa hizo wakiwa nyumbani ili ziwawezeshe kwenda field.

La kushangaza hadi jioni hii ya jmosi hakuna pesa yeyote sasa sijui dhamira ya bodi ya mikopo ni nini. Daaaah tutakuja anza field very late bado kuna probation preptn yaaani daaah.....painfull.
 
Hili jambo mimi nili shtukia mapema.
serikali imejificha nyuma ya mgongo wa kuhakiki wanafunzi wakati in reality haina hela.
 
Mkuu jana nimeangalia tangazo lililotolewa na Udsm, linatubembeleza tuende field uku likisema pesa tutapewa kwa awamu... Yani ni shida sana, wangesema tu kuwa hawana hela, sio uhakiki
 
Mkuu jana nimeangalia tangazo lililotolewa na Udsm, linatubembeleza tuende field uku likisema pesa tutapewa kwa awamu... Yani ni shida sana, wangesema tu kuwa hawana hela, sio uhakiki
Daaaah ni kweli aisee kama hawakuwa na pesa siwangesema tu publically kuwa hakuna pesa kuliko kutuzugazuga na hoja za uongo...huku ni politicise taaluma daaah.
 
Hilo jambo tata mno sijui ndo wataforce vijana waende field bila pesa
 
Hilo jambo tata mno sijui ndo wataforce vijana waende field bila pesa
Hicho ndio kinachoonekana mkuu....sasa itabidi watoe wiki nyingine tuanze kupiga virungu angalau tupate visenti vya mauli
 
Back
Top Bottom