Kuna sintofahamu ( taharuki) kwa wanafunzi wanaondelea (continues) baada ya Bodi ya Mikopo kupunguza kiasi cha malipo au mikopo katika ada na huduma nyinginezo ukiacha ile chakula na malazi.
Mfano mdogo wangu alikuwa analipiwa 530,000 kwa mwaka lakini cha kushangaza amekuta halipiwii kitu chochote mpaka sasa.
Nawaza...
1. Kwanini hakuna tamko rasmi kutoka Bodi ya Mikopo kuhusu utata huu?
2. Hali hii inatoa maoni gani kwa serikali na wanufaika wa Mikopo hii?
3. Je, Serikali imeishiwa pesa kiasi cha kutoweza kuendelea kuwahudumia?
4. Huu si mkataba iweje ukiukwe?
5. Inakuaje jambo nyeti kama hili linakuwa na muonekano wa kufanyika kienyeji?
6. Kuna mahali nimesikia kuwa ni technical issue ila je, iweje ni kwa ada na huduma nyinginezo na chakula na malazi ibaki kama ilivyo?
Karibuni kwa mawazo na mwenye kujua kwa undani jambo hili, tafadhali unakaribishwa.