Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili asaliwe, Padri akamkaripia kwa ukali hatusalii mbwa hapa! mzungu akauliza ni kanisa gani wanasalia maana nina sadaka ya milion tano kwa padri atakaemsalia! Padri akajibu ah! kwanini hukusema tangu mwanzo kama mbwa wako ni Mkristo? haya mlete nimwombee haraka sana! chezea pesa weye!