Pesa ni M-Pesa, Lipa kwa M-Pesa pata zawadi za papo hapo

Umeshawahi kufanya malipo kwa kutumia huduma ya Lipa kwa M-Pesa?


  • Total voters
    24
  • Poll closed .
Hiki kimtandao kimekuwa ovyo sana mimi nakitumia kwenye sms tu na Demu wangu mbali na hapo sina matumizi na nyie.
 
Vodacom Tanzania ni hatua na vigezo vya kupata laini ya M_pesa yenye mfumo wa kulipa kwa kutumia NAMBA YA KAMPUNI na KUMBUKUMBU NAMBA!! Yaani namaanisha mteja akihitaji kulipia bidhaa kwangu, aingize namba yangu ya Kampuni na kumbukumbu namba
 
Back
Top Bottom