Hahahaha sosoliso kumbe kitamba chako tena cha vono ( unakumbuka vitanda vya spring) ni muhimu kuliko Paloma,aisee!endelea kuomba Bishanga.. ila kumbuka hata Elton John ana hela na anaitumia imzoee lakini anapumuliwa.. kuwa na hela sio kila kitu..
kwanza mie bado niko kwenye falsafa za Mwalimu.. Pesa sio msingi wa maendeleo.. na kwamba ili niendelee ninahitaji vitu vinne.. kwanza nyumba (ya kulala na shemeji yako Paloma usije kutupiga chabo).. pili kitanda cha sita kwa sita.. tatu shemeji yako Paloma na mwisho ni condoms kwa ajili ya uzazi wa mpango..
Wifiyo mtarajiwa...mumeo kantafutia!!!
Suzie hapa hakusuti mtu.. mbona wampumulisha kwa shida shemeji yangu Mentor bibie..? hebu fungua moyo wako maana wa kwake uko wazi toka siku aliyokutia machoni.. wasubiri uingie.. Maana anapungua sana kwa mawazo juu yako.. akinywa maji anakuona kwenye glass.. hana neno litokalo kinywani mwake zaidi ya jina lako.. mtima wake unaingia vumbi kwa maana uko wazi ukisubiri wewe uingie.. hebu fanya staha mwenzio apate kaa.. yu tayari kukupa hata dunia ukiitaka.. mradi wewe ufurahi mtima wake utulie.. mahaba yake kwako ni mazito yamezidi thamani ya vito..Mmmh, nikae kimya maana majina yanafananaga nisije sutwa bure
teh teh.. Then waweza pewa shkamoo na baba mkwe kwa unyenyekevu.. LOL.