pesa ni kitu kizuri.........

Pesa ni kila kitu asikuambie mtu, hasa mwanaume ukiwa nazo kila mzazi mwenye binti atataka umuoe kwa kigezo cha heshima utasikia ooh! Yule kijana anaheshima!
Pesa sabuni ya rohoo
 
Hahahaha umenikumbusha kitu....hujambo lakini Paloma......hivi sosoliso hamjaachana hasa ukizingatia sio mwaminifu kwenye penzi lenu?

endelea kuomba Bishanga.. ila kumbuka hata Elton John ana hela na anaitumia imzoee lakini anapumuliwa.. kuwa na hela sio kila kitu..
kwanza mie bado niko kwenye falsafa za Mwalimu.. Pesa sio msingi wa maendeleo.. na kwamba ili niendelee ninahitaji vitu vinne.. kwanza nyumba (ya kulala na shemeji yako Paloma usije kutupiga chabo).. pili kitanda cha sita kwa sita.. tatu shemeji yako Paloma na mwisho ni condoms kwa ajili ya uzazi wa mpango..
 
Last edited by a moderator:

mwenzangu...kumbe mie rank yangu ni ya tatu..........yeeeuwiii Mentor njoo unidake kabla sijadondoka....mwili n aakili vinakosa nguvu huku!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mwenzangu...kumbe mie rank yangu ni ya tatu..........yeeeuwiii Mentor njoo unidake kabla sijadondoka....mwili n aakili vinakosa nguvu huku!!!!!!!!!!!!

sasa babe Paloma inabidi ukute nimeshakutengenezea kila kitu ili ucipate shida.. maana mwanzo nilivyoanza nilianza kwa shida na tabu.. sio kwamba ati ni wa tatu.. cul dwn babe..
shem Mentor ni masuala madogo tu dada yako alishindwa kuelewa.. bt nimeshamuelewesha na kaelewa.. Suzie ameshakuja..?
 
Last edited by a moderator:

mmhhh haya....ngoja turudi home.... Mentor Suzie ni nani tena?
 
Last edited by a moderator:
Ayaa mbona unaharibu mapema hivi!??

ukweli hukuweka huru! bora asikie kwangu ntampa nyama ya ulimi, kuliko aje avamiwe na wanachama wa saccos waliowekeza afu wanadai gawio.........:mvutaji:
 
Babe Paloma anataka kukuharibia tena shem..? Anaua tim..

huyu shem wako huyu naye nahisi ataachia wapepelezi kazi ya kusaka visitor....aliyenywewa viagra!!!
Mentor usijali banaa we mdogo wangu ulivyokamilika lazima ataingia kwemye saccos tu

afu msomali nimewasiliana naye! Ibadani kama kawaida maana atakuwa anatoa ushuhuda!
 
Last edited by a moderator:

Naam nimefurahi kupata habari hizi...! misa sitoikosa...:A S clock:
 
Naam nimefurahi kupata habari hizi...! misa sitoikosa...:A S clock:

mie pia nimefurahi ila....kinachoniogopesha ni huo ushuhuda......i think kuna samsingi zat hapen'di!!! anyway tusubiri!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…