Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

Tena Nina njaaa sana, nletee wali
 
Lakini Kuna mahali pesa haiwezi kukusaidia kabisa, najua wengine hawawezi kunielewa ila kiroho safi siwaombei mfike hapo.
 
Mi
Lakini Kuna mahali pesa haiwezi kukusaidia kabisa, najua wengine hawawezi kunielewa ila kiroho safi siwaombei mfike hapo.
naamini ktk Pesa Hayo pesa hawawezi yapo pia Duniani.
 
As for me,afya kwanza!!!

Toka nimeona mtu nje ime-park Range Rover,Land Cruiser V8,Land Cruiser Prado 150 pamoja na saloon Crown Athlete na pikipiki kubwa BMW mwanae aliniambia ilim-cost baba yake zaidi ya 40mill,ndugu wakipigiana simu kushukuru siku hiyo amemaliza japo kikombe cha uji mwepesi niliiheshimu sana afya.

Ukiwa huna mia mbovu mfukoni lakini una afya hakuna neema zaidi ya hiyo,sitaeleweka but kwenye maisha kuna wakati unafika vyote tunavyomiliki au kung’ang’ana navyo havina msaada wowote.
 
Lakini Kuna mahali pesa haiwezi kukusaidia kabisa, najua wengine hawawezi kunielewa ila kiroho safi siwaombei mfike hapo.
Taja sehemu ambapo pesa haiwezi kukusaidia.Utaje mbadala wa kitakachosaidia bila pesa.
 
Si
As for me,afya kwanza!!!

Toka nimeona mtu nje ime-park Range Rover,Land Cruiser V8,Land Cruiser Prado 150 pamoja na saloon Crown Athlete na pikipiki kubwa BMW mwanae aliniambia ilim-cost baba yake zaidi ya 40mill,ndugu wakipigiana simu kushukuru siku hiyo amemaliza japo kikombe cha uji niliiheshimu sana afya.

Ukiwa huna mia mbovu mfukoni lakini una afya hakuna neema zaidi ya hiyo,sitaeleweka but kwenye maisha kuna wakati unafika vyote tunavyomiliki au kung’ang’ana navyo havina msaada wowote.
Sipingani na Usemacho. Ila mm naamini ktk Pesa, na Ningekua na Pesa Mimi yaani Ningetembea Nje ya Tanzania maana pesa ingeniruhusu Kutembea uko na kulala ninapotaka, ila Sina Tu, pesa, Yaani nafsi yangu unavyotaka nijipe raha kwa kupitia pesa. Wewe Acha Tu
 
Back
Top Bottom