Pesa Madafu ya Jay Moe

Pesa Madafu ya Jay Moe

Juma mchopanga kaonyesha tofauti ya ukongwe na kuwa wapo kwenye game si kwa zali la mentali bali yeye ni talented I can't wait ujio mpya wa juma nature
 
this fella has never disappointed me since day one...hawa ndio wananifanya nisikilize raps za nyumbani mstari kwa mstari...dab imetulia
 
"Hata Shing' Mia Hatuaiachi Inapigwa Ndio Zetu Si Pesa Ya Madafu"
 
Mi mzee wa machaka pori kama chatu hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom