Pesa kweli ni sukari ya warembo

Pesa kweli ni sukari ya warembo

Aisee mimi nimefulia hata hamu ya mnaowaita mademu sina. Mimi sihitaji kwa kweli mali na stress ambazo unaweza kugeuka kuwa mwizi pia una-risk kupata magonjwa nyemelezi bora nionekane bahili
 
Inategemea na mtu,mi wananizimia tu bila hela huwa wanaridhika tu na ahadi zangu ambazo nyingi ni hewa na hazitekelezeki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom