Hii ya ManSniper zimefanana sanaipi mkuu
Na Wewe!!Sasa hela zote hizo mnataka mtumie wenyewe?
Evelyn Salt upo ............. nilidhani TCRA wamekupitia kabla ya muda wao.Pesa ndo kila kitu
Hapo sawaNa Wewe!!
Sasa hela zote hizo mnataka mtumie wenyewe?
Ila ukimwi bado upo jamani hao mademu wa kali ndio wanaongoza kwa ukimwi kwani wanachukuliwa na kila anaye wataka, hivyo muwe waangalifu sana
WapiNa ww humo
Nimeipenda hii kauli ya kishujaaUKIMWI=UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.
Mwili ukikosa/ukipungua kinga unaugua magonjwa mengi tu kuanzia mafua, kikohozi,kuhara ,kifua kikuu TB na magonjwa mengine mengi tu.
Hivyo basi ukimwi kila mtu anaupata ili mradi katika maisha yake anaugua magonjwa yoyoteyale.
Dunia imebadilika, ukitaka kunasa watoto wazuri zamani ilikua ukiwa sharo unajua kuoga, raba, jinsi nini, yaani warembo wanakupapatikia.
Balaa ila zama hizi hebu tega mtoto mkali kwenye mitandao ya kijamii halafu omba namba mkichat kidogo tuu mtumie ata fifty hivi alafu mpotezee siku 2 usimtext uone atakavyokutafuta.
Hili suala nashindwa elewa kwa nini wasichana wamependa hivyo pesa. Bila pesa madem wazuri unaweza ishia kuwaita shem only.......
wewe unaonekana mbahiri sana duuuumimi nikizidisha ni 5000/=
hahahaaaa.....Ok Weka Picha Ya " Mademu Wazuri".
hii ni kweli mimi mwenyewe kuna totoz mbili nimeshazifanyia hivyo na assa hv ninawasiliana nao kama kawaida..Dunia imebadilika, ukitaka kunasa watoto wazuri zamani ilikua ukiwa sharo unajua kuoga, raba, jinsi nini, yaani warembo wanakupapatikia.
Balaa ila zama hizi hebu tega mtoto mkali kwenye mitandao ya kijamii halafu omba namba mkichat kidogo tuu mtumie ata fifty hivi alafu mpotezee siku 2 usimtext uone atakavyokutafuta.
Hili suala nashindwa elewa kwa nini wasichana wamependa hivyo pesa. Bila pesa madem wazuri unaweza ishia kuwaita shem only.......
UKIMWI=UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.
Mwili ukikosa/ukipungua kinga unaugua magonjwa mengi tu kuanzia mafua, kikohozi,kuhara ,kifua kikuu TB na magonjwa mengine mengi tu.
Hivyo basi ukimwi kila mtu anaupata ili mradi katika maisha yake anaugua magonjwa yoyoteyale.
Usiku ndio usiku, sitakua hewani nasafiri tehEvelyn Salt upo ............. nilidhani TCRA wamekupitia kabla ya muda wao.
yaah ni kweli hta mi nilionao ni wanafunziMmh...wewe unapenda wanafunzi sio wanawake wanao jielewa.