Pesa kutoka nje ya Nchi

Pesa kutoka nje ya Nchi

Naomba kufahamu hii worldremitt wakuu
Google utapata taarifa nyingi,
Screenshot_20200820_220612_com.opera.browser.jpg
 
Kijana angu ni mzito sana,kashatuma bank,nifanyaje?
 
Kijana angu ni mzito sana,kashatuma bank,nifanyaje?
Anakutesa huyu janja, tumeshakueleza inshu za utumaji pesa Ulaya kuja bongo kwa benki,
Kwanza makato ni makubwa zaidi ya worldremit na nyinginezo
Time taken mpka upate hela pia nidiffer mno, ila pole mie nafanya yangu apa na mpunga toka Ancona prescoli Italy huko
 

Attachments

  • IMG_20200809_202310.jpg
    IMG_20200809_202310.jpg
    154.2 KB · Views: 7
Anakutesa huyu janja, tumeshakueleza inshu za utumaji pesa Ulaya kuja bongo kwa benki,
Kwanza makato ni makubwa zaidi ya worldremit na nyinginezo
Time taken mpka upate hela pia nidiffer mno, ila pole mie nafanya yangu apa na mpunga toka Ancona prescoli Italy huko
Unapooza koo baada ya kusubiri kwa muda mrefu[emoji23][emoji23]
 
WorldRemit ni instant...dk sifuri unapokea wenye simu, au Wave..

Bank watakukata kipuuzi.

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Back
Top Bottom