Pesa isiyo julikana kwenye account

Pesa isiyo julikana kwenye account

Aiache tu mwaka wa fedha ukisha aanze kudokoa kidogokidogo had I iishe
 
Zipige tu.


Binafssi nilipiga 36000

Nikapiga 450k.

Nikapiga 1.1m,

Niliuliza ndan benki wakanambia hiyo transaction inaonesha ni mshahara wangu ilhali kampumi inanilipia kwa benki nyingine tofauti kabisaaa
 
Back
Top Bottom