Pita tu tunajua we ni dume
Ila jamaa kwenye hiyo nyimbo amewaweza kinoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena wanaotakiwa kuitikia hiyo "i like it" ni mademu lakini hadi wanaume nao wanaitikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona insta hakujatosha, umeona uje na huku. Utawapata tu wa kutosha
Hapo alikua anamaanisha nini?Mkuu kono la sojodo..sio kweli kasikilize vizuri ni
Uno la sotojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.......`Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```.
Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa *JIBEBE*
Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema 'I Like It'
.....Unasachantogo (I like it)
.....Achi nkoroji nkologo (I like it)
.....Kono la sojodo (I like it).......
Pesa iko na power mingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi pm naruhusiwa?
unapita zako au ndo unajitambulisha kama wewe ndio Lisaa mautamu