Pesa Hii Bado ipo Hapo nyumbani Tanzania?

Pesa Hii Bado ipo Hapo nyumbani Tanzania?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,940
12250049_694929297318386_7134988273244710679_n.jpg


Na unanunuwa kitu gani? Je inayo thamani Tena?
 

Attachments

  • Pesa ya mwinyi.jpg
    Pesa ya mwinyi.jpg
    15.9 KB · Views: 619
Niliskiaga watu wanatfta ya mwaka 1993!!!sasa ckujua inathamn ya tsh20 au wanaitftia ina thaman zaidi
 
Hizi pesa wanazo sana wauza karanga wakizitumia km kengele za kuitia wateja wao, hazina thamani tena za kununua chochote#
 
Hivi na hii imepotelea wapi?? Imekua adimu Sana sasa...
 

Attachments

  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg
    5.7 KB · Views: 674
Hizi pesa wanazo sana wauza karanga wakizitumia km kengele za kuitia wateja wao, hazina thamani tena za kununua chochote#

Duh, ila kweli aisee, hii ni kengele ya wauza karanga. Thank you for reminding me.
 
Ipo makumbusho na thamani yake ni Historia ya tulikotoka.
 
Back
Top Bottom