pesa chanzo cha ukimwi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pesa chanzo cha ukimwi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,610
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  nimekuwa nikivutana na mwenzangu akisema fedha ndio chanzio cha ukimwi
  huku nikiamini uzinzi ndio unawaua wengi..ndugu ze tusaidiane kwa hili
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kuwa pesa ndio chanzo cha ukimwi mbona hata wasio na pesa nao wanapata ukimwi?
   
 3. D

  Dick JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pesa sio chanzo cha ukimwi, Pesa ni nyenzo tu, ukiitumia vizuri itafanya mema, ukiitumia vibaya itafanya mabaya. Chanzo cha ukimwi ni tabia ya uzinzi inayowezeshwa na pesa kama nyenzo kwa sehemu mojawapo.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ngono Nzembe ndicho chanzo!
   
Loading...