Mkuu kufuta sifuri hakuwezi kuipandisha thamani ya pesa ya nchi fulani dhidi ya dola. Kuna vitu kama vile exports na imports zenu katika nchi zinachangia sana. Ingekuwa hivyo zimbabwe kipindi ya mwisho cha Mugabe wangeweza kufanya hivyo.Wazambia walifuta sifuri kadhaa kutoka kwenye Kwacha yao.
Hilo linakuonesha kwamba, thamani ya pesa haina maana ya uchumi mzuri.
Hata sisi tunaweza kuondoa sifuri tatu kwenye shilingi yetu, dola moja ya kimarekani iwe shilingi mbili na ushee.
Tunaweza kufanya hilo leo.
Lakini, hilo halitamaanisha kuwa uchumi wetu utaimarika mara elfu.
Arusha wamasai wanaikataa ukiwapiga picha wanataka ndola $.09.Tanzania shillings🤧🤒
Leo nikiwa na Rand 100 sawa na dola moja.Mkuu kufuta sifuri hakuwezi kuipandisha thamani ya pesa ya nchi fulani dhidi ya dola. Kuna vitu kama vile exports na imports zenu katika nchi zinachangia sana. Ingekuwa hivyo zimbabwe kipindi ya mwisho cha Mugabe wangeweza kufanya hivyo.
Lakini kuondoa sifuri inaweza kuwa sababu ya nguvu ya pesa?Wazambia walifuta sifuri kadhaa kutoka kwenye Kwacha yao.
Hilo linakuonesha kwamba, thamani ya pesa haina maana ya uchumi mzuri.
Hata sisi tunaweza kuondoa sifuri tatu kwenye shilingi yetu, dola moja ya kimarekani iwe shilingi mbili na ushee.
Tunaweza kufanya hilo leo.
Lakini, hilo halitamaanisha kuwa uchumi wetu utaimarika mara elfu.
Ukiondoa sifuri 2 kweny rand 100 unapata rand 1!Leo nikiwa na Rand 100 sawa na dola moja.
Kesho nikafuta sifuri 2 kwenye hiyo Rand, ikawa Rand mpya.
Kesho hiyohiyo Rand mpya moja itakuwa sawa na dola ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano wako huo.Lakini kuondoa sifuri inaweza kuwa sababu ya nguvu ya pesa?
ok, elfu 10 ya tz ukiondoa sifuri tatu za mwisho utaita elfu 10 tena au shs 10? lakini 1 USD moja kununua kwa hela ya TZ unahitaji hizo shs 10 ngapi?
Kinachofanya thamani ya hela kupanda na kushuka ni demand na supply ya sarafu yako sasa hilo lakutoa sifuri inafanya kazi wapi?
Wewe yani hesabu ndogo hii inakutoa jasho?Ukiondoa sifuri 2 kweny rand 100 unapata rand 1!
1 USD ilikuwa rand 100. sasa ukiwa na rand1 unatakiwa kuzidisha mara 100 ilikupata 1 USD
1USD= 1Rand x100=100 Rand
Rand 1 itakuwa sawa na Dola 1.Leo nikiwa na Rand 100 sawa na dola moja.
Kesho nikafuta sifuri 2 kwenye hiyo Rand, ikawa Rand mpya.
Kesho hiyohiyo Rand mpya moja itakuwa sawa na dola ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
yes Zambia wamefanya mema kuimarisha sarafu yao,ila walichokifanya sio rocket science!! na sio president Lungu aliyefanya haya,soma upande wa pili wa story,unamkumbuka yule president wa mpito??ndiye aliyeleta mabadiliko haya within 6mths za utawala wake(President Scott.....ila ni mzungu huyu!!)Hakuna Nchi kwa upande wa fedha yake naikubali Kama Zambia. Sijui wametumia Effort gani kubadii kutoka Kuwa pesa ya thamani ya Chini mpaka ubora huo.
Maana Kwacha ilikuwa mara mia kabisa TZS.
Lakini toka akamate Nchi Lungu, Mambo yanaenda Mswano kwa Ustable wa Currency yao. Tanzania CCM ndiyo Shida.
Rand 1 itakuwa sawa na Dola 1.
Hayo ni mazingaombwe matupu.yes Zambia wamefanya mema kuimarisha sarafu yao,ila walichokifanya sio rocket science!! na sio president Lungu aliyefanya haya,soma upande wa pili wa story,unamkumbuka yule president wa mpito??ndiye aliyeleta mabadiliko haya within 6mths za utawala wake(President Scott.....ila ni mzungu huyu!!)
1 dollar sawa 14.25 Zambian Kwacha. Hela yao iko juu kuliko yetu. Na Uchumi wao uko vizuri ila Lungu naona anaweza uporomosha
Sent using Jamii Forums mobile app