PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

wakuu msaada jaman...

kwann nikiweka windows 10 game zoote zinastack ila nikieka windows 8 lina play vizur tuu...
specs za pc ni
intel core i7 75000U..
nvidia geforce 940MX...
1TB na 16GB Ram...
ni hp envy 17" touch cjui labda hizi brand zina shida na windows 10


Sent using Jamii Forums mobile app
jaribu kudownload windows 10 gamers edition.

Au baki tu na hiyo 8 kama huna ulazima sana windows 10
 
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Mkuu tatizo langu kwenye pes 2017 lipo kwenye DLL files, nikifungua inaniambia inamiss d3dx9_43.dll, msvcp100.dll, msvcr100.dll, xinput1_3.dll
natumia windows 10, hp i5 4th generation
 
Mkuu tatizo langu kwenye pes 2017 lipo kwenye DLL files, nikifungua inaniambia inamiss d3dx9_43.dll, msvcp100.dll, msvcr100.dll, xinput1_3.dll
natumia windows 10, hp i5 4th generation
nenda web ya Microsoft download. Vc++ 2012 hadi 2015. Na direct x 11 na 12


Au tafuta ndani ya inistallation foder la game file liitwalo redist kisha inistall hizo software utazo zikuta humo.
 
troublemaker Pc yangu ina specification hzo. Inaweza cheza FIFA 19?
1061057
 
mkuu troublemaker natumia fifa 15 naomb unisaidie link za patch 2018-19 latest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom