PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Right click hiyo game shortcut kisha open file location then utakuta software ya setting. Nenda setting. Kisha controller setting kisha fungua sehemu yenye vistari (_ _ _)

Halafu ukiopen hapo utaiona pad yako ibonyeze then weka yes.

But. Ukikwama usisite kunijulisha. Ila sio kazi kabisa.
Wakuu nimedownload PES 2017 Kutoka Micano, nime install fresh tatizo game pad hazi respond kwenye PES tu. Nikifungua Need for speed au fifa 14 zinapiga mzigo fresh tu. Tatizo ni nn hapa.
Pro Evolution Soccer 2017 PC Game – Repack Black Box - Micano4u | PES Patch | FIFA Patch | Games

troublemaker 2019. all right received.
 
iv mkuu patch ya fifa ambayo ipo updated ronaldo yupo juve imetoka
Right click hiyo game shortcut kisha open file location then utakuta software ya setting. Nenda setting. Kisha controller setting kisha fungua sehemu yenye vistari (_ _ _)

Halafu ukiopen hapo utaiona pad yako ibonyeze then weka yes.

But. Ukikwama usisite kunijulisha. Ila sio kazi kabisa.

troublemaker 2019. all right received.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza nataka nunua pc ili niweze weka fifa 2019 je nahitaji iwe na uwezo gani ili nikiweka game nicheze bila shida?
 
Mbona patch ipo muda tu. Link yake ipo hapo nyingine imetoka juzi tu...

troublemaker 2019. all right received.
now natumia iyo mkuu je kuna mpya zaid ya iyo ?
1553602425834.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza nataka nunua pc ili niweze weka fifa 2019 je nahitaji iwe na uwezo gani ili nikiweka game nicheze bila shida?
Cpu i3 2nd gen (i5, i7 kuanzia 3rd gen itakuwa vyema)
Ram 8 gb
Gpu 2 gb

troublemaker 2019. all right received.
 
wakuu msaada jaman...

kwann nikiweka windows 10 game zoote zinastack ila nikieka windows 8 lina play vizur tuu...
specs za pc ni
intel core i7 75000U..
nvidia geforce 940MX...
1TB na 16GB Ram...
ni hp envy 17" touch cjui labda hizi brand zina shida na windows 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom