PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Pes2017 Languages and commentaries

English Commentary
adapted from 2019
Commentary:
Peter Drury
Analysis:
Jim Beglin

mb677
 
Msahada tafadhali kwa naejua
habari wana pes and fifa Nime install need for speed 2005 kwajili ya kucheza madogozangu.tatizo niki lifungua kuanza kucheza linaanza kidogo baada ya dakika kaza desktop inazima na kujiwasha msahada kwa anaejua suluisho asante
 
haileti error yeyote?

Embu jaribu ku update driver za hardware zako.
Msahada tafadhali kwa naejua
habari wana pes and fifa Nime install need for speed 2005 kwajili ya kucheza madogozangu.tatizo niki lifungua kuanza kucheza linaanza kidogo baada ya dakika kaza desktop inazima na kujiwasha msahada kwa anaejua suluisho asante
 
Nenda start windows then kwenye search type "dxdiag" run kisha tuma maelezo ya kwenye desplay.

Hata hivyo ni jepesi sana..hata pc ya kawaida kabisa inarun.

Here are the Need for Speed: Most Wanted System Requirements (Minimum)

CPU: Pentium 4 or Athlon XP.

CPU SPEED: 1.4 GHz.

RAM: 256 MB.

VIDEO CARD: 32 MB DirectX 9.0c compatible 3D video card (NVIDIA GeForce2 MX+ / ATI Radeon 7500+ / Intel 915+)

TOTAL VIDEO RAM: 32 MB.

Core 2 duo 1.89 and 1.88. ram 3.5GB hddck space 30gb system window 64 bit window7 v ram 878 hp desktop
 
Chief-mkwawa
Msahada tafadhali kwa naejua
habari wana pes and fifa Nime install need for speed 2005 kwajili ya kucheza madogozangu.tatizo niki lifungua kuanza kucheza linaanza kidogo baada ya dakika kaza desktop inazima na kujiwasha msahada kwa anaejua suluisho asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom