PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Vipi? Unakwama wapi?

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Hapo chini ndo kuna tatizo mkuu.

Nimepanga hatua kwa hatua kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Hakuna downloading yoyote inayofanyika mpaka hatua ya mwisho.
IMG_20190212_001735.jpeg
IMG_20190212_002020.jpeg
IMG_20190212_002033.jpeg
IMG_20190212_002048.jpeg
IMG_20190212_002103.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna ishu moja ninaiface, nina fifa 14 nilidownload kupitia nosteam nimeinstall vizuri ikawa ina play fresh ( Nili install kwenye local C- GAMES - Fifa 14)
IMG_2587.JPG

sasa nimejaribu kudownload fifa 14 Next Season Patch 2019 kupitia micano4u na nika install kwenye hiyo hiyo directory kupitia instruction za kwenye video.
IMG_2588.JPG

Tatizo ni kwamba hakuna mabadiliko ninayoyaona kwenye game.kama wachezaji ni walewale hata graphics hazijachange sasa sijui tatizo ni nn?

Hizi ndo specifications za laptop yangu.
IMG_2590.JPG
 
Wakuu kuna ishu moja ninaiface, nina fifa 14 nilidownload kupitia nosteam nimeinstall vizuri ikawa ina play fresh ( Nili install kwenye local C- GAMES - Fifa 14)View attachment 1045291

sasa nimejaribu kudownload fifa 14 Next Season Patch 2019 kupitia micano4u na nika install kwenye hiyo hiyo directory kupitia instruction za kwenye video.
View attachment 1045299

Tatizo ni kwamba hakuna mabadiliko ninayoyaona kwenye game.kama wachezaji ni walewale hata graphics hazijachange sasa sijui tatizo ni nn?

Hizi ndo specifications za laptop yangu.
View attachment 1045301
copy hilo file liitwalo game then kalipaste kwenye original game folder
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom