PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Mi nacheza Pes 2017 kwenye Intel HD 3000 inarun very smooth aseee hadi raha, fifa kwangu inacheza ya 14 but imekuwa patched to 18.

Tatizo la fifa kuanzia gameplay building up mpaka kuscore ni ngumu balaa but pes ni simple sana, ila pes 2017 naona long shot kufunga ni mtihani kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nielekez how to update iyo fifa 14 iwe na patch ya 18
mana micano nmeshindwa kuelewa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.

Update: Fifa 19 nalo tamu sana nimefanikiwa kulipata mapema tu. Full cracked gb 40
Requirement
Cpu i3 2nd gen
Ram 8 gb
Gpu 2 gb

fifa 19 android offline mb 900 FIFA 19 MOD PES 2019 Android Offline 900 MB - Micano4u | PES Patch | FIFA Patch | Games
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.



pes 2017 direct link

Pro Evolution Soccer 2017 Repack-CorePack | Ova Games

MUHIMU: zima antivirus na fire wall wakati unainistall na kudownload cracked software yeyote.
mkuu troublemaker nipatie link ya fifa 14 nijimwage nayo naona pc yangu ina spec za kutosha alafu nina game moja tu la assassin creed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom