Pes & fifa pc games thread.(uzi kwa wapenda game za mpira kwenye pc)


troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,010
Likes
4,579
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,010 4,579 280
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.

Update: Fifa 19 nalo tamu sana nimefanikiwa kulipata mapema tu. Full cracked gb 40
Requirement
Cpu i3 2nd gen
Ram 8 gb
Gpu 2 gb
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.

pes 2017 direct link

Pro Evolution Soccer 2017 Repack-CorePack | Ova Games
1535914575775-png.855018
chagua uptobox au google drive. naonaga ndio njia rahisi

utafikishwa hapa
1535914648402-png.855027
weka tiki kwamba wewe si robot

then weka tiki vibox vyenye alama ulitakavyo ulizwa. kama ni gari au store au street sign
1535914782886-png.855035
then comfirm
1535916426126-png.855080

direct but nadhani si ya kudumu Filecrypt

torrents: Download Pro Evolution Soccer 2017 (PES 2017) CPY(+CRACKFIX) [English] [v Torrent - Kickass Torrentspatch inistallation


MUHIMU: zima antivirus na fire wall wakati unainistall na kudownload cracked software yeyote.
 

Forum statistics

Threads 1,235,630
Members 474,678
Posts 29,229,177