Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

Huyu kiere ere, chake ndo kimemponza, mgomo wa ma dr yy ulikua haumhusu kwa sbb yy siyo mwajiriwa wa serikali, angewaacha awo ma dr wayaaemee masilahi yao wennyewe kwani wawo hawana midomo,ili liwe fundisho kwa wengine wanaopenda kujihusisha na mambo yasiyowahusu.
 
Alijipenyezaje mpaka kuwa mbele ndio ninachotaka kujua na alikua na alikuwa ametumwa na nani kwa malipo kiasi gani maana ni wazi hakua anatumika bure
swala la kutokuwa mwajiriwa wa serikali si hoja kwani wote hatujui katiba ya chama chao ikoje...na yy anafaidi indirect in the sense that serikalini wakiongeza na private wataongeza ....na pia mgomo wa madaktari haukuwa wa mishahara tu ni pamoja na vitendea kazi...hospitali nyingi za serikali wanawaelekeza wagonjwa kwenda private hosptal kupata baadhi ya huduma mfn xrays...
nashangaa mkulu kuongelea mshahara tu...
 
Ndo manake wakaamua kumuua lakini siku ya tatu akafufuka kawaumbua hata wakimmalizia huko aliko wajue kamwe hawa serikali dhalimu tinatengeneza orodha zao na familia zao hadi vilembwe kwami uchifu, ukoloni lazima tuukomeshe kwa kuvitambua vyema hivi vizazi vyao dhalimu

Wewe unabwabwaja tu!!!! Nilitaka nifuatilie hoja zako kumbe bure, ulianza kama mtoa hoja, Nilidhani mtu wa maana kumbe bure, unatukana wenzako. Jenga hoja acha ad hominen arguments
 
Mkishamaliza kuwashwa na jinsi Dr Ulimboka alivyowashika pabaya mpaka mkataka kumuuwa na mmeshindwa na sasa mnaweweseka, naomba mnijurishe yule Nickolaus Mgaya wa TUCTA ni mwajiliwa wa Idara ipi ya Serikali?
 
Kama hujui kitu 'funga bakuli lako'...sio kujifanya mjuaji halafu unachemka katika forum yenye heshima kama JF! Dr Namala Mkopi ni Rais wa chama cha madaktari Tanzania (Medical Association of Tanzania, MAT) ambacho ni chama chenye mrengo wa kiTaaluma zaidi, na ndio maana hakihusiki moja kwa moja na madai ya maDaktari.

Dr Stephen Ulimboka ni mwenyekiti wa jumuiya ya maDaktari (ni jumuiya isiyo rasmi, nikiwa na maana haijasajiliwa wala kuwa na katiba), ni jumuiya ya ridhaa ili kuongoza maDaktari katika kipindi hiki cha mgomo.

Ulimboka ni Mwanaharakati pamoja na wanawake wenzake Kina Kijo, Ullya na Nkya. Sio mwajiri wa Serikali ila anatumiwa na Wapinzani.
 
Sijaona jina,,,,,la asas anayofanyia kazi hadi hapa,,,,,,,naona watu wanatukanana na kukebehiana
 
swala la kutokuwa mwajiriwa wa serikali si hoja kwani wote hatujui katiba ya chama chao ikoje...na yy anafaidi indirect in the sense that serikalini wakiongeza na private wataongeza ....na pia mgomo wa madaktari haukuwa wa mishahara tu ni pamoja na vitendea kazi...hospitali nyingi za serikali wanawaelekeza wagonjwa kwenda private hosptal kupata baadhi ya huduma mfn xrays...
nashangaa mkulu kuongelea mshahara tu...
Tuache kudanganyana ajenda yao mama ni mshahara na malupulupu hivyo vitendea kazi ni kisingizio tu,na kisingizio chenyewe hakiapply kwa walioajiriwa kwenye private sector kama bwana Ulimboka,ninachojiuliza ni kwamba je ulimboka alijipa angalau muda wa kupitia mikataba ya aliyokuwa "amejitolea" kuwasemea na mwajiri wao?au alijitumbukiza tu matokeo yake yakampata yaliyompata akiwa kwenye mambo ya ulevi
 

Sir! bado tunahamu ya kujua yeye ni mwajiriwa wa serikali? is he an interested party?

Unadhani hii mbinu ya kale kudivert kusudio la mauwaji kutupeleka kujadili upuuzi wenu litafanikiwa!? No way.

Jana Bungeni tayari serikali imeshaonesha dalili zote za kuhusika na mauwaji haya yalioferi, nendeni kwa waliowatuma waambieni Wananchi hatuko tayari kulishwa habari za chemba la choo, tunahitaji kuwaona wauwaji mbele ya court of law. haya maswali mnayouliza hapa Ikulu inafahamu vyema.

This thread is total nonsennse.
 
Dr Ulimboka alipewa mkwanja afanye mgomo mkubwa mwanzoni mwa mwaka huu yeye akaupeleka mgomo ukamshinda sasa waliompa hela walikuja kudai chenji na yeye hakuwa nazo maana huyu daktari ni misheni tauni wenzake wakamzidi kete wakamchukua wakaenda kumtupa Magwepande. Haiingii akilini mtu wa mwili kama wa dokta Ulimboka aburutwe kirahisi rahisi kwenye gari na watu asiowajua unless alikuwa anawafahamu tayari.Mchawi wenu huyo huyo dokta Uli.
 
Madaktari gani hawatii hata kauli ya mahakama? Ulimboka na wenzake ni genge la wahuni ambalo inabidi wananchi tulikemee vikali.
 
Nyi wote mnaupungufu wa akili mwilini hatuwezi kuwasaidia dr ulimboka ni mtanzania na anatoa huduma tanzania hivi nyie hamjiulizi kwa nini madr wa hospitali za dini nao wamegoma mfano KCMC na BUgando unang'ang'ania Ulimboka ...Ulimboka nyirikisheni walau bongo zenu kidogo mbona hamchoki kutumia masaburi kwa maana hiyo kuna akina ulimboka wengi sana kcmc,bugando na kweingineko ulimboka ni kama chembe ya wali kwenye sahani ya wali.....
Nyambafu wezi wakubwa nyie mnaohujumu uchumi wa nchi siku zenu zinakaribia lazima mfanyiwe kazi na huyu ACP AHMEM MSANGI mumfiche milele

na huyo ully wako akirudi anapata THE BEATING ingine na safari atapewa A ONE WAY TICKET TO HELL ,akaongoze migomo huko.
 
Tuache kudanganyana ajenda yao mama ni mshahara na malupulupu hivyo vitendea kazi ni kisingizio tu,na kisingizio chenyewe hakiapply kwa walioajiriwa kwenye private sector kama bwana Ulimboka,ninachojiuliza ni kwamba je ulimboka alijipa angalau muda wa kupitia mikataba ya aliyokuwa "amejitolea" kuwasemea na mwajiri wao?au alijitumbukiza tu matokeo yake yakampata yaliyompata akiwa kwenye mambo ya ulevi
Hivi kumbe alikuwa kwenye "mambo ya ulevi"?
 
Daktari kuwa mwajiriwá wa serikali ama siyo, hakumfanyi ashindwe kutetea afya za wananchi kama kiapo chao kinavyosema. Yeye ni kiongozi wa jumuiya ya madaktari inayowahusisha madaktari wote wa serikali na binafsi. vilevile kutokuwa siyo mtumishi wa serikali hakuhalalishi yeye kuuwawa. Ni bora tuangalie jambo la msingi "kuboresha huduma ya afya", kwani hakuna ugonjwa/mgonjwa wa serikali ama siyo wa serikali. Wananchi wote wanahitaji huduma hii muhimu bila upendeleo na ni haki ya masingi kwa kila raia. Madaktari na Serikali wanawajibu wa kutekeleza majukumu yao kikamilifu.
 
Kuna taarifa kwamba Dr.Ulimboka sio mtumishi wa serikali,je hili ni kweli?kama jibu ni ndio amewezaje kujipenyeza mpaka kuwa mtu mashuhuri zaidi kwenye mgogoro wa nyongeza za malupulupu ya watumishi wa serikali-madaktari waajiriwa wa serikali?alitumwa na nani na hao waliomtuma wamekuwa wakilimpa kiasi gani labda kwa mwezi.

KWANI KUTETEA HAKI LAZIMA UWE MWAJILIWA WA SERIKALI,SHERIA GANI INASEMA HIVYO
 
baada ya hotuba za jk, na baada ya kujulikana kuwa dr uli siyo muajiri serikalini, watu wengi wamepatwa na aibu! waliokua wanatokwa povu za midadi wote kimya. siyo siri jk alipanga hotuba. alibaininsha mambo 12 ambayo wamekua wakijadili
 
Back
Top Bottom