Amani iwe kwenu Wanabodi!
Kwanza kabisa napenda kumpongeza Dr Mashinji kwa kuteuliwa na chama chake kuchukua hiyo nafasi.
Napenda kushare nanyi katika kumfahamu Dr Mashinji..hasa historia, strength and weakness zake.
Kuzaliwa na elimu yake. Dr Vincent B. Raphael Mashinji alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 kule Wilaya ya Sengerema. Ni mseminari aliyemaliza elimu ya O level pale Makoko Seminary , Musoma mwaka 1991 na baadae kuchaguliwa A-level kujiunga na Seminary ya Nyegezi na pia Shule ya Wanafunzi wenye vipaji maalumu kule Mzumbe High School. Hata hivyo Dr Mashinji aliamua kwenda Mzumbe kwani alipenda PCB na hiyo combination haikuwepo Nyegezi Seminary. Alikuwa mmoja wa kundi la kwanza kabisa kusoma shule ye vipaji zilopoanzishwa, baada ya kuwa amefaulu vyema masomo ya Science.
Baadae alifaulu vyema A level hapo Mzumbe na Kujiunga Chuo cha Makerere, Uganda ambako alihitimu shahada ya Udakatari wa Binadamu.Alifanya internship Hospitali ya Taifa Muhimbili na baade alijiunga na Masters ya Anesthesiology pale MUCHS (sasa MUHAS). Baada ya ule mgomo wa interns/Drs (kabla ya ule wa Ulimboka), Dr Mashinji aliamua kujiunga na NGO’s za magonjwa ya na Ukimwi na TB na tafiti . Wakati akiwa kwenye hizo ya NGO’s nje ya serikali, Dr Mashinji alisoma Masters zingine kama MBA huko Sweden. Pia mamehudhuria kozi zingine za mafunzo ya afya huko Marekani na Uingereza. Mpaka mwaka jana Dr Mashinji alikuwa anamalizia PhD.
Hi ndiyo elimu yake na kwa hakika si ya kuunga unga na imeshiba haswa .
Uongozi ,utawala na profession yake
Pale seminary ya Makoko, Dr Mashinji alikuwa mmoja wa viranja na alipoenda Mzumbe High School alibahatika kuchaguliwa kuwa Area Captain (Karume)..kwa wale wasioijua Mzumbe hii post ni kama Mkuu wa Mkoa. Alipokuwa Makerere alilkuwa kiongozi wa chama cha wanafunzi (equivalent to DARUSO) na pale intern Muhimbili alikuwa kiongozi wa intern Dr na pia mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Madaktari –MAT. Baada ya miaka 2011 alianza kujihusisha na chadema na kuongoza/kushirilki baadhi ya vikao vya strategic planning pamoja na kuandaa ilani ya uchaguzi ya chama.
Alipokuwa Muhimbili na MAT kama kiongozi, alishirika katika kutoa ushauri ambao ulipelekea mgomo wa interns na Drs ukaisha na Mishahara ya Drs ikapanda kwa asilimia 80-100% wakati yeye , wenzake na Dr Hamisi Kigwangala wakitolewa kafara. Siyo kweli kuwa Dr Mashinji alishiriki tena mgomo wa kamati ya Dr Ulimboka kama baadhi ya watu wanavyopotosha. Hata hivyo migomo yote hii ilikuwa inalinda masilahi ya watanzania kwa kuomba kuongezwa vifaa tiba na pia masilahi mazuri kwa wafanyakazi. Vifaa tiba mpaka sasa ndo na kero na kwa hakika Drs na nurses wataendelea kutumbuliwa kama kafara vifaa tiba vitaendelee kuwa chache au hakuna.
Kwenye professional yake, ame practice afya tiba (curative medicine) kwa muda mfupi sana ila zaidi muda mwingi ameutumia katika preventive Medicine , uongozi na public health. Alipokuwa anasoma Anaesthiology pale muhimbili , Dr Mashinji hakuwa kuhusishwa na kashfa yoyoye ya kutakatisha madawa toka MSD kama inavyodaiwa na baadhi ya watu. Kwa watu wanaoufahamu mfumo wa Medicine, Drs huwa hawahusiki na madawa kabisa na ni kazi ya pharmacia.(Watu wamekuwa wakipotosha Drs wanaiba dawa..mpaka wakampotosha mkuu wetu Mhe. JPM.. Dr hunadika dawa tu na so kazi yake kuitunza wa kuigawa) .Pia Dr Mashiji hajawahi kuwa Dakatari wa familia ya Dr Mbowe kama inavyopotoshwa na wabaya wake.
Strength. Dr Mashinji, amejaliwa kuwa na uongeaji makini na pia anaweza kujenga hoja (backed by data) na kuweza kukushawishi unapo msikiliza. Hilo nadhani limechangia sana kumfanya awe muhimu ndani ya chadema. Ni mtu anayeamini katika, principles za utawala, science na tafiti si mtu wa kukurupuka wala kupanic ovyo ovyo. Ni mcheshi na threshold ya hasira zake iko mbali. Hupenda pia kupata ushauri kutoka kwa wenzake na pia wazee wenye busara. Kwa kifupi ni msikivu, mvumilivu lakini pia ni mtu mwenye mwenye kuthubutu kutoa maamuzi na hukataa kuendeshwa endeshwa kama zuzu(ana msimamo).
Dr Mashinji ni mtu mwenye upeo na huwa anaona mbali. Pia yuko creative na anaweza kuja na wazo ambao likaleta sense of originality na la maendeleo. Bwana huyu hupenda sana kusoma vitabu na kwa kweli depth yake of thinking na knowledge ni kubwa sana kuliko viongozi wengi tulio nao. Ladha yake ya kimombo (English) na Kiswahili, utaipenda na ina mvuto fulani. Ni mtendaji na mfatiliaji mzuri na pia ni mwa mkakati haswa.
Weakness.Kila mtu hata akiwa na mazuri mangapi huwa hakosi mapungufu. Kama mnavowajua watu wa kule ziwani, Dr Mashinji naye ana chembe fulani ya kujiona nakadharau kidogo. Hata hivyo huyu bwana huwa ni mwepesi wa kujitambua akidhani amekufanyia hivyo na baadae kujirudi. Ana marafiki wengi (washikaji) ni vema awe makini wakati huu wa uongozi.
Mwisho ninavyomjua Dr Mashinji, kwa caliber yake ya fikira, creativeness, knowledge, thinking, originality na kuona mbali , Chadema imepata kijana sahihi na mungu amwongoze na kumlinda.
By jj