Person of interest.

Person of interest.

POI.
You have been watched....the goernment has a secret system, the machine that watch you every hour of the day. I Designed the machine to detect acts of terror but it sees everything. Violent, crimes involving ordinary people.....Daaaah ngoja nikawatch next episode nachelewa utamu

Huyo jamaa jinsi anavyoongea kwa sauti ya chini halafu maneno yake huwa yanakuwa na effect kubwa,namkubali sana,alitisha sana kwenye series ya "Lost".
 
keyseSoze willzkichaa & NasDaz

Kuna aliyeangalia "Lost"
"Dexter",
"Breaking bad"

Hizo nimezikubali sana ila hakuna series ninayoikubali kama breaking bad,
Kwa upande wa comedy nakubali sana Community na How I met your mother.
Now naangalia "weed" season ya 7,ya kawaida kwangu ila pia haiboi kivile
 
Last edited by a moderator:

Hii series ya weed inahusu nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom