Person of interest.

Person of interest.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Habari ndugu.

Nmebahatika kuiona hii series season one, nmeifurahia kwa kweli na ni the best tangu nmeanza mwaka huu.

Detective Carter, Fusco, Finch, John.............dah hivi kuna season 2?

Kama unayo naomba.
 
Yani nimeingia humu nianzishe thread kujua kama watu wameingalia na wanaifikiriaje maana mimi nimeikubali, alafu nakutana na yako.

Nwy mi nnayo ila namna ya kukupatia sasa. Kama uwezo wa kudownload upo fanya udownload maana inazidi kunoga.
 
Hii ni series niliyo ikubali na pesa nilio nunulia naona ni ndogo.

Ngoja niifanyie mishe niipate, naweza pata link ya kudownload?
 
Ngoja niitafute, link ya hapo juu inagoma, ngoja nitumie pc.

...your being wathced, you can't find us, we find you.......

Imegoma vipi mkuu hii niliyokupa ni link ya ku-stream na ina series zote pia kama unayo internet download manager unaweza kudownload

Project Free TV :: Person of Interest

Na kama unataka information za series kwa ujumla yaani next episode inatoka lini au ilikuwa inahusu nini cheki hapa

Person of Interest - TV.com

Na hapa ni kwamba next episode Season 3 Episode 19 inatoka tarehe Kesho tarehe 1 mwezi wa nne inaitwa Most Likely to....
 
Kweli binadamu twatofautiana. Mi nimeishia ep03 na ikanikata mood kabisa.
 
Kweli binadamu twatofautiana. Mi nimeishia ep03 na ikanikata mood kabisa.
Labda haukuielewa.., POI ni nzuri sio sababu ya plot ni nzuri peke yake, bali acting, dialogue na chemistry between actors its of its own kind, the mystery behind na uzuri kila episode inakuacha bila kiu sababu ingawa kuna a bigger story lakini after an episode kunakuwa na case inayokamilika.., in short its one of the Top Series at the moment..

Au labda wewe unaona series gani ni nzuri then I will know your interest.... (can not see whats not to like in POI)
 
Mi nfuatilia elementary now. Ila suits, chaos n supernatural are also in my collection.

Labda tunatofautiana kidogo maana mimi hukata tamaa nnapoangalia 3 episodes na zikanchosha. POI imekaa ki myth myth tu yaani ile technology wanaoitumia ya kama kuona target inayofuata ndo nlipochoka.

Mimi huwa nasema kama filamu/tamthilia inanidanganya it better do it big. Mfano supernatural unadanganywa na mambo yanakaribia ukweli mpaka unaelewa ingawa ni ya kifupi fupi mno.
 
Tatizo ni "the machine is watching you......"

Mkuu, nakumbuka nilikaa kama miaka 5/6 bila kuangalia muvi baada ya kujua kua muvi zote ni acting tu, nothing real, nlikuja kuanza kuangalia baada ya series ya Jumongo kuonyeshwa ITV na mpaka leo sioni tabu.

Uzuri wa muvi ni pamoja na stori iliyo kamilika na kuridhisha.
POI kwangu imekamilika na inaridhisha nmefurahi kuiona series hii.
 
Mi nfuatilia elementary now. Ila suits, chaos n supernatural are also in my collection.

Labda tunatofautiana kidogo maana mimi hukata tamaa nnapoangalia 3 episodes na zikanchosha. POI imekaa ki myth myth tu yaani ile technology wanaoitumia ya kama kuona target inayofuata ndo nlipochoka.

Mimi huwa nasema kama filamu/tamthilia inanidanganya it better do it big. Mfano supernatural unadanganywa na mambo yanakaribia ukweli mpaka unaelewa ingawa ni ya kifupi fupi mno.

Mkuu ukiangalia vizuri hii POI ni nzuri kuliko hizo series ulizozitaja Hususan Supernatural inavyozidi kuendelea na kuendelea sasa inaboa, suits dialogue ni nzuri ila ikiendelea kwa muda mrefu itapoteza muelekeo tukirudi kwenye POI ngoja nikupe story kwa ufupi....

The Machine

Mara baada ya september 11; serikali ili-commission watu (kina Finch) ili kutengeneza mashine inayoweza kugundua viashilia au prediction ya acts of terrorism; yaani kama machine ikiwa connected kwenye cameras zote mitaani, database as well as kuna logarithm ya kuweza kugundua mtu akifanya hiki au kile anaweza kusababisha terrorism (ukizingatia kuna mpaka software za face recognition) alafu kila mtu ana National Insuarance Number kwahio katika mahesabu kama kuna viashilia fulani basi national insurance ya mtu itatokea.., sasa ni kwamba government yenyewe ilijihusisha na zile relevant numbers (za matukio makubwa) lakini sababu machine sees everything (through Cameras and CCTVs) ikawa inatoa na irrelevant numbers.. (sasa Finch kutokona na loss fulani labda aliyopata ya rafiki yake through that irrelevant number akaamua kuanza kufuatilia these so called irrelevant numbers ili kusaidia watu..

Mysteries

Ni nini kilimfanya Kilimfanya Finch mpaka akaamua kuanza kusaidia watu, pesa zote hizo alizipata wapi ?, Loss ya rafiki yake ni nani alimuua na kwanini

Ni nini kilimfanya John Reese hadi akawa kama alivyo ?, betrayal, love au ?

Where is the machine situated ?

WARs / Conflicts and Pending Wars

Carter / The Team against HR; Silas, The Machine (yaani kuna so many bad guys wa kuweza kuendelea hii series to infinity, Na kwenye Seasons za Mwanzo Carter against the Team; Carter na Fusco wote kushitukiana fulani, alafu kina finch wanavyotafuta watu huku na wenyewe the Law inavyowatafuta (seasons za mwanzo mwanzo)

Chemistry
Kuna chemistry kubwa sana between the man in suit na wengine wengi....,

What Makes the Series Grea

Dialogue ni ya kufa mtu, actors wote they play their part perfectly na Plot ni nzuri sana; pia kuna originality thinking outside the box; sio series inakuwa kama series nyingine zilizopita, Same Script Different Cast
 
Mkuu ukiangalia vizuri hii POI ni nzuri kuliko hizo series ulizozitaja.

The Machine

Mysteries

WARs / Conflicts and Pending Wars

Chemistry

What Makes the Series Grea

Shukrani kwa muhtasari. Ila hyo naona kama iko plane (idea yake) kwamba sio series itayokuumiza kichwa uanze kufikiria kitafuata nini.

Nimeshawishika kiukweli na ntaiangalia. Ila huoni kama The Blacklist ni idea inayolandana na hyo ila imekaa kikamari zaidi na kufanya ivutie na kutaka jua kitafuata kipi?
 
Nimeshawishika kiukweli na ntaiangalia. Ila huoni kama The Blacklist ni idea inayolandana na hyo ila imekaa kikamari zaidi na kufanya ivutie na kutaka jua kitafuata kipi?
Blacklist ni nzuri ila sio Original Kama POI na mystery sio nyingi kama kwenye POI, na utakavyozidi kuangalia hii mpaka mbele kutakuwa na mysteries zaidi kuna mpaka another machine nayo itakuwepo / itataka kutengenezwa na huenda kukawa na war of machines, pia kuna mystery ya nani alikuwa anawatuma kina Reese, Je ni CIA kweli au ni covert operation yenye manufaa yao wenyewe.., pia kina Finch wanazuia mashine labda isije kutumiwa na watu vibaya..

Believe me mimi nimeangalia series nyingi sana na there is not a lot not to like about POI, kuna series ambazo hazina logic kama Revenge (imepoteza muelekeo) au nyingine zinavutwa mpaka zinadoda, (blacklist is great) lakini POI is in league of its own. Original and not just another series...
 
Im in
 
Habari ndugu.

Nmebahatika kuiona hii series season one, nmeifurahia kwa kweli na ni the best tangu nmeanza mwaka huu.

Detective Carter, Fusco, Finch, John.............dah hivi kuna season 2?

Kama unayo naomba.

Very nice, I am also finishing season2 and its getting more interesting!

Lizzyany idea how I can get the 3rd season?
 
Last edited by a moderator:
POI.
You have been watched....the goernment has a secret system, the machine that watch you every hour of the day. I Designed the machine to detect acts of terror but it sees everything. Violent, crimes involving ordinary people.....Daaaah ngoja nikawatch next episode nachelewa utamu
 
Back
Top Bottom