R raky JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 206 Reaction score 34 Mar 2, 2013 #1 Wapendwa natafta perfume designer hapo juu inaitwa just cavalli her, nmeitafta sana hapa dar cjapata nililetewa na mdogo wangu wakati anatoka Italy, ameshamaliza shule harudi tena, nisaidieni pakuipata mwenye idea? Mungu awabariki sana
Wapendwa natafta perfume designer hapo juu inaitwa just cavalli her, nmeitafta sana hapa dar cjapata nililetewa na mdogo wangu wakati anatoka Italy, ameshamaliza shule harudi tena, nisaidieni pakuipata mwenye idea? Mungu awabariki sana
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Mar 2, 2013 #2 Perfume za bongo wanadilute kwa kutumia syringe. Utakuta jina la brand unayotaka lakini smell tofauti.
Perfume za bongo wanadilute kwa kutumia syringe. Utakuta jina la brand unayotaka lakini smell tofauti.